Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,371
- 14,481
Anauza mwili tu.Hata mimi hapo pamenipa ukakasi sana, pamoja na andiko la page 8 lakini sijaona mahali wamegusia anafanya nini maishani mwake...
Anauza mwili tu.Hata mimi hapo pamenipa ukakasi sana, pamoja na andiko la page 8 lakini sijaona mahali wamegusia anafanya nini maishani mwake...
Kawaida Mtoto wa kike akiwa mrembo pasipo akili sehemu za Siri ndo huwa zinaumia.Ana bahati kupendwa
Kulikuwa kuna disco la mchana.Duh kipindi hyo mbowe alikuwa anaruhusuje mabint wadogo waje disco![]()