Je, Unajua?

fundichupi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2015
Posts
382
Reaction score
237
Wasichana wengi kuanzia miaka 19-23 sio waaminifu kwa wapenzi wao kwasababu bado huamini kuwa na uwezo wa kupata wapenzi wengine.

Wavulana between 19-23 ni waaminifu sana kwa wapenzi wao kutokana na kuwa hawana fedha na ajira pia ndio maana hutulia na mmoja.

Wasichana between 24-35 ni waaminifu sana na uaminifu hudumu mara dufu kwa wanaume wenye nia ya kutaka kuoa kwani wanajua uzuri wao unapotea kila siku na umri nao unawaacha.

Wavulana between 24-35 sio waaminifu kwa wenzi wao kutokana na kazi zao na fedha hivyo hujiamini wanaweza pata mwanamke yeyote ndio maana huwa waongo na wasaliti.
 
je umetafiti wewe au umekopi somewhere
 
Wadada hawaezi sema hapa.. Wanapita na MXIUUUU kubwa mana wanajua wametumika sana hafu wameangukia pua.
lara1
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo unashauri mwanamke aolewe akiwa 24 na kuendelea.


Nawaza kwa sauti (uaminifu ndani utakuwa % kubwa)
 
Kwa hiyo unashauri mwanamke aolewe akiwa 24 na kuendelea.


Nawaza kwa sauti (uaminifu ndani utakuwa % kubwa)

Ewaaa... Yaan 25 kuja juu ila asiwe 35 kuja juu. Akiwa 35+jua chances za kuzaa bila complication ni ndogo na anaelekea menopouse hvo mtabd mzae watoto wanapishana miezi au mwaka. Akiwa 25 anakuwa kapevuka na walau tayar kuwa mama na anajitahd kutulia mana anajua akicheza vibaya atazeekea kwao na atakopwa sana au hata kuliwa free papuchi kama wakati yupo 24-

*ni mtizamo wangu tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…