Nadhani hiyo ni moja ya mihemuko ya wakubwa...Kikwete kapigwa mabango kibao kipindi hicho akawa kimya,akaondoka zake na hakuna kilichobadilika...zaidi ya kumwagiwa sifa kibao saiviaah mbona sasa tulikua tunahangaika tuifunge ....
Ooh sory wakuu nimeropoka
Kiukweli kama haujui ni inamaanisha wewe ni mgeni. Hivyo nakuacha uzoee nyuzi mbalimbali ili uwe unarelate hapo baadaye.Hebu mkuu ungetusaidia kuyaweka(japo kwa ufupi) na sisi tuyafahamu
Jikite kwenye viewers, muulize melo akupe takwimu. Nahisi ni zaidi ya 2M. Nilijiunga jf 2012, ikiwa na member 60k. Leo hii ni more than 470k trend ya members siyo mbaya.Sawa tuendelee kufarijiana humu ndani tu
Nzuri sana hii...lakini kwa yale maamuzi ambayo yanahitaji kujumuisha jamii yote nadhani nguvu ya huku ni neglibleKuna mwaka kuna uzi wa kuonyesha ukwepaji kodi wa kampuni moja hivi uliwekwa humu.
Serikali ikataka imjue muanzisha uzi.
Wakapeleka watu mahakamani.
Raids zikafanywa.
Ikatamaniwa mitandao izimwe.
JF ikapotea.
Sera na sheria mpya zikatungwa.
JF ikapotea tena.
Mahakamani watu wakaenda tena.
Naona serikali inatumia rasilimali nyingi kwa lengo dogo la kunyamazisha 0.5%.
Sijajua.Nzuri sana hii...lakini kwa yale maamuzi ambayo yanahitaji kujumuisha jamii yote nadhani nguvu ya huku ni neglible
Unajua idadi ya wanosoma habari tu bila kujiunga kaangalie wanao tembelea jf kwa siku.Habari za muda huu ndugu wanaJF,ninatumaini wote ni wazima afya
Ningependa kuwapa takwimu muhimu sana siku ya leo inayohusu members wa JF
Tanzania ina jumla ya watu wazima wasiopungua mil27 na JF ina members 472,580....Hii inamaanisha JF kwa makadirio inawakilisha 0.5% ya watu wazima nchini Tanzania
Hivyo ni vigumu sana kuamini kwamba JF inafaa kuwa chombo cha kutumia katika kuakisi uhalisia uliopo katika jamii yetu ya Tanzania...comments unazoziona hapa hazina nguvu yoyote katika kupindua uhalisia wowote ule katika Tanzania
Hitimisho:Tuache kujifariji kwa michango ya 0.5%(ambayo kwenye hiyo 0.5% yenyewe kuna mgawanyiko),kama tunahitaji mabadiliko ya kweli tuingie mtaani tushawishi jamii yetu kwanza
Umesema ukweli mtupu...ila shinda ni kwamba accesibility kwa wananchi kwa media kama JF na Radio ni tofauti kabisa,JF unahitaji smartphone,unahitaji MB,vp Radio?Kama ndio hivyo kwa hesabu zako,hujui nguv ya media coverage ya watu laki nne ina multiplier effects kubwa sana! Mwaka 1994,rwanda kulikua na fm radio moja ikitangaza chuki dhidi ya watusi kwa mikoa mainly miwili, kigali &gitalama kilichotokea unakijua,mauaji ya kimbari!