The Iron
JF-Expert Member
- Apr 7, 2017
- 1,397
- 1,470
Habari za muda huu ndugu wanaJF,ninatumaini wote ni wazima afya
Ningependa kuwapa takwimu muhimu sana siku ya leo inayohusu members wa JF
Tanzania ina jumla ya watu wazima wasiopungua mil27 na JF ina members 472,580....Hii inamaanisha JF kwa makadirio inawakilisha 0.5% ya watu wazima nchini Tanzania
Hivyo ni vigumu sana kuamini kwamba JF inafaa kuwa chombo cha kutumia katika kuakisi uhalisia uliopo katika jamii yetu ya Tanzania...comments unazoziona hapa hazina nguvu yoyote katika kupindua uhalisia wowote ule katika Tanzania
Hitimisho:Tuache kujifariji kwa michango ya 0.5%(ambayo kwenye hiyo 0.5% yenyewe kuna mgawanyiko),kama tunahitaji mabadiliko ya kweli tuingie mtaani tushawishi jamii yetu kwanza