Kwel kabisa kama mtu anajisikia kutukana ni vizuri atukane tu , wala matusi hayana madhara kwa mtukanwaji kama afya ya akili ipo sawa.Msitafute namna ya kuepuka kutukanwa.Don't provoke anybody if at all you don't like negative reactions.Anayetukana anaonesha hisia halisi za mapokeo ya alichofanyiwa ili ajipooze nafsi yake.Epuka kukorofisha mtu asije kukurudi kihisia.
So unapinga kuwa matusi sio end of thinking capacity ( etc)Matusi ni vihisishi.
Sasa watu wasioweza kudhibiti hasira lazima watatumia sana matusi. Wanatukanwa na wao wanajifunza.
Pia matusi yanaweza tumika kama rejesta na makundi ya watu mfano walevi, wavuta bangi, makonda nk....
sio, ni mazoea mabaya tu yanarekebishikaSo unapinga kuwa matusi sio end of thinking capacity ( etc)
Ufupi wetu unahusikaje mkuu🤣Alisema Mzee mmoja: kutafakari sio jambo jepesi, ndio maana watu huishia kwenye matusi.
So ukiona watu humu jf wanamatusi ujue uwezo wao wa kufikiri ni mdogo ....most of them wanakuwa wafupi/ pia watata
Cognizant tupe uzoefu wako mkuu
Wewe ndio unaakili kisa mrefu mbona mtu mfupi anakuibia mke kisa huna mashine kubwa yaani unamfuma na kamtu kana hela tena kafupi kanalindwa wewe mrefu mwenye akili unavyodai unaajiriwa bado . Huna hela unategemea mshaharaAlisema Mzee mmoja: kutafakari sio jambo jepesi, ndio maana watu huishia kwenye matusi.
So ukiona watu humu jf wanamatusi ujue uwezo wao wa kufikiri ni mdogo ....most of them wanakuwa wafupi/ pia watata
Cognizant tupe uzoefu wako mkuu
Umekosea mkuu ....mtu mfupi hawezi kuwa na mashine kubwa.... wafupi wengi ni viba100Wewe ndio unaakili kisa mrefu mbona mtu mfupi anakuibia mke kisa huna mashine kubwa yaani unamfuma na kamtu kana hela tena kafupi kanalindwa wewe mrefu mwenye akili unavyodai unaajiriwa bado . Huna hela unategemea mshahara
UongoooUmekosea mkuu ....mtu mfupi hawezi kuwa na mashine kubwa.... wafupi wengi ni viba100
Ndo unanijulisha leo kuwa mimi ni miongoni mwa watata🤣Research insonyesha ni watata[emoji23]
Wewe ni mfupi??Ndo unanijulisha leo kuwa mimi ni miongoni mwa watata🤣
SIyo kiviiiiile🤣Wewe ni mfupi??
Sishangai kwa kukosa jibu la swali langu maana na wewe ni mfupi 😂😂Umekula Mzee..... yawezekana njaa inakusumbua
Haya kazi kwenu sasaWafupii tumefikwa.