asante mkuu, ila naulizia hicho kipengele cha pili ulichokielezea mtu anayetaka kusoma bachelor ya law na sio masters anafanyaje? hapo umeelezea kwa mastersPostgraduate diploma inatumika kwa namna Tatu tofauti.
(1) Kwa mtu ambaye amesoma mfumo wa zamani wa advance diploma ambayo ni equivalent na B.degree but not equal na anatakakujinga na masters. basi itamalazimu kufanya Post graduate diploma kwa mwaka mmoja kabla ya kufanya masters.
(2) Kwa mtu amabaye anataka kubadilisha fani. Mfano: una Bachelor degree in education na unataka kusoma masters ya Law. itakulazimu kwanza kufanya post graduate diploma ndipo uwe eligible kufanya masters.
(3) Kwa mtu ambaye hakufikisha minimum requirement kuwa admited kwenye same faculty kwa level ya masters. Mfano umesoma Degree ya Business administration ukapata GPA ya 2.5 na wakati wa kufanya masters wakakuambia minimum entry qualification inatakiwa uwe na GPA ya 3.0. basi ili kujiunga na iyo masters itakubidi usome postgraduate kwa mwaka mmoja ndipo usome masters
Asante na karibu

Hebu angalia maelezo ya swali lako kama yapo sahihi. nimejibu ulicho uliza kwenye swaliasante mkuu, ila naulizia hicho kipengele cha pili ulichokielezea mtu anayetaka kusoma bachelor ya law na sio masters anafanyaje? hapo umeelezea kwa masters
bila kukukwaza nikakosa maelezo ya msaada wako mkuu, mbona swali langu linahitaji uwezekano kwa mtu aliyesoma mfano bachelor ya elimu na anataka kubadilisha asome sheria japo sijaspecify kama ni bachelor ya sheria au masters ila ninachohitaji ni bachelorHebu angalia maelezo ya swali lako kama yapo sahihi. nimejibu ulicho uliza kwenye swali
Najibu kama nilivo kuelewa.bila kukukwaza nikakosa maelezo ya msaada wako mkuu, mbona swali langu linahitaji uwezekano kwa mtu aliyesoma mfano bachelor ya elimu na anataka kubadilisha asome sheria japo sijaspecify kama ni bachelor ya sheria au masters ila ninachohitaji ni bachelor
nakushukru kwa maana mtazamo niliokuwa nao ni tofauti na uliouelezea, ila naomba kufahamu uwezekano wake kwa mtu aliekuwa na aliyesoma elimu mfano kuja kusoma master ya sheria kwa kutumia postgraduate ya sheria?Najibu kama nilivo kuelewa.
Inawezekana kusoma hyo postgraduate ila itakuw kama daraja au foundation ya kusoma máster ya sheria. ILa ukikomea hapohapo kwenye postgraduate haitakuwa na sound na hautatambulika kama mwanasheria kwa kuwa umesoma msingi tú wa sheria kama njia ya kuelekea kusomea masters.
Kiujumla ukitaka kusoma sheria bachelor level ww itakubid uapply upyaaaa kama wanavyo apply hawa wasasaivi. tofauti na hapo itakubidi uanzie post graduate mwaka 1 kisha usome masters.
jibu umepata lakini ndugu????nakushukru kwa maana mtazamo niliokuwa nao ni tofauti na uliouelezea, ila naomba kufahamu uwezekano wake kwa mtu aliekuwa na aliyesoma elimu mfano kuja kusoma master ya sheria kwa kutumia postgraduate ya sheria?
Ndiyo inawezekana kutoka education kuja law . Soma post graduate mwaka 1 zen mastersnakushukru kwa maana mtazamo niliokuwa nao ni tofauti na uliouelezea, ila naomba kufahamu uwezekano wake kwa mtu aliekuwa na aliyesoma elimu mfano kuja kusoma master ya sheria kwa kutumia postgraduate ya sheria?
Unasoma tu kama kawaida ukimaliza masters yako.access ya law of school inakuwaje?
yes inampa urahisi. na pia ndio matakwa yake. soo haikwepekinimelipata ndugu lakini naulizia huu uwezekano unampa urahisi kiasi huyu mtu alisoma mfano elimu kuja kusoma masters ya sheria kwa kutumia postgraduate ya mwaka mmoja?
mara nyingi postgraduate inagawanyika katika quarters. zinakuwa nne. soo kila moja yaweza kuwa na module nnekatika postgraduate anasoma kozi ngapi? je, hizo kozi ni za sheria?
basically elimu ya masters ni kwa ajili ya kubobea kitu ambacho ulisoma degree. so kama mtu ume diverge career yako huna budi kujifunza binafsikuliko kutegemea darasani.nahisi muda wa mwaka mmoja ni kama mfupi kutengeneza msingi wa masters ya law, naomba ufafanuzi wako mkuu
sawa ndugu nimekuelewa vizuri, ushauri wako unaweza ukawa upi ndugu kwa mtu anayehitaji kusoma law ila ana bachelor nyingine?basically elimu ya masters ni kwa ajili ya kubobea kitu ambacho ulisoma degree. so kama mtu ume diverge career yako huna budi kujifunza binafsikuliko kutegemea darasani.
pia postgraduate inawafaa sana watu ambao wana degree nyingine na wanafanya kazi nyingine na wanataka kuwa proffesinal kwenye iyo kitu. mfano wewe una BAED afu unafanya kazi kama Afisa masoko kwa miaka 3. so unakuwa umesha ijua industry ipoje, ila unahitaji kuapata elimu zaidi na uwe certified