Kwa yeyote anayejiandaa kufungua biashara ya duka hususani la nguo au vipodozi ninauza displaying boards 2 ukubwa 4*8 tsh 130,000/= zote mbili(utapewa na hooks 40 bure) showcase ya Aluminum ya ukutani 70,000/=,pia kuna marine Boards kibao kwa ajili ya shelves kwa bei chee kabisa! Vitu viko dsm.