Je unaipenda nchi yako?

Je unaipenda nchi yako?

Real joh

Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
19
Reaction score
0
Unajivunia nini kuwa mtanzania?
Je ungozi uliopo madarakani umenufaika nao vp?
Umejifunza nini mpaka sasa katika kuhakikisha kura yako ya baadae haipotei?
 
najivunia ungozi uliopo madarakani sababu ni wa mwafrika wa kitanzania.
 
hapa ni chit chat eeh?
Basi mie sina hisia nimekufa ganzi kabsaaaa!!
 
Sipendi na wakitaka kura yangu waseme walikomweka mwalimu nyerere.
 
...nisingependa kuharibu hii siku kwa kujadili hii nchi zaidi sana uongozi wake!,bado dakika chache sana!
 
Back
Top Bottom