Je unaijua tabia yako?

tz2015

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2014
Posts
982
Reaction score
447
Ni rahisi sana kuchunguza tabia za wengine na ukatoa maoni yako juu ya jinsi uwaonavyo, si mara nyingi mtu kujishughulisha kujijua binafsi ana tabia gani hasa upande wa mahusiano.

Nimeona leo niweke kile ninachokiona
Ukitaka kuijua tabia yako uwe ke au me jiangalie unapokuwa peke yako chumbani au sebuleni kile unachopenda kukifanya mwenyewe, hiyo ndo tabia yako halisi mengine ni maigizo.

Anza leo kujichunguza na kisha lete mrejesho
Kazi njema.

 
kwani chumbani utafanya nini mbali na kulala?
 
Bado hujanielewesha vizur yaani.vipi??
Mfano ukiwa katikati ya watu hutaki kuongelea mabo ya mapenzi,lkn ukiwa peke yako una penda kuangalia tamthilia za mapenzi tu,au unapenda kuangalia mikanda ya porn lkn hutaki mtu yeyote ajue,ila mke/mme akisafiri upo radhi ununue DVD ujifungie peke yako uangalie lkn mwenzio akirudi unajifanya hutaki kusikia mambo kama hayo n.k
sasa nadhani umeelewa,lete mchango wako.
 
Ati nini?
Mkuu utafiti mleta uzi anamaanisha tabia ya mtu mwenye kuijua ni mtu mwenyewe coz yale uyapendayo
hujidhihirisha pale unapokuwa peke yako,amini usiamini,kuna wanaoonekana kuwachukia mamiss wanapofanya show lkn wawapo peke yao vyumbani mwao huvaa skin tight na kupiga miondoko ya kimiss mbele ya wearing mirrors,lkn mtu kama huyo ukimwambia ajifue apige show kama miss anakataa na wakati mwingine anaweza sema umenizalilisha.
Hivyo mambo unayoyafanya ukiwa peke yako yanadhihirisha uhalisia wako.
 
Mbali na kulala kama chumba kina siri nyingi
Mkuu kama kuna mahali pako bussy kuliko kawaida ni mahali unapolala,mipango yote hupangwa huko ukiamka asubuhi ni kutekeleza,hata kama kuna manzi unamvizia mipango yote ya kumtokea unaisuka chumbani,ndo maana humu unakutana na maneno k.v 'sikulala kabisa' ni dhahiri kwamba huyo anakesha kwa kuwaza japokuwa yuko chumba cha kulala.
 
Kwa kweli majibu ja Mkuu@Jt2014 yanatoshereza ni kwa sababu sijui kuyaunganisha hapa ila haswa ndo nililenga
kwamba tabia ya mtu mwenye nayo ndo anaweza kuielezea kwa undani kuliko mwingine awaye yote.
 
mi najijua nikiamua kitu changu nna msimamo 100% sibadiliki japo inachukua muda kufanya any decision
 
Una point lakini hujaweza kuichambua na kuielezea vizuri. Unachanganya vitu mtu anapenda kufanya na tabia ya mtu. Hivi ni vitu viwili tofauti. Unapenda kuangalia picha za ngono kwa mfano, hiyo siyo tabia ni hobby.
 

Bado sijaelewa
 
Me napenda kucheza mziki nikiwa bafuni jikoni chumbani yan kila sehemu looo.......
 
Una point lakini hujaweza kuichambua na kuielezea vizuri. Unachanganya vitu mtu anapenda kufanya na tabia ya mtu. Hivi ni vitu viwili tofauti. Unapenda kuangalia picha za ngono kwa mfano, hiyo siyo tabia ni hobby.

katika watu walichangia vzr ni wewe
 
Una point lakini hujaweza kuichambua na kuielezea vizuri. Unachanganya vitu mtu anapenda kufanya na tabia ya mtu. Hivi ni vitu viwili tofauti. Unapenda kuangalia picha za ngono kwa mfano, hiyo siyo tabia ni hobby.

Ww ndo umeelewa.
Ana point lakini hapa ndo alipokosea kachanganya vitu viwili ambavyo ni tofauti
 
Me napenda kucheza mziki nikiwa bafuni jikoni chumbani yan kila sehemu looo.......

sipati picha mchagga acheze tweak aiseee

anyway usiku nikiwa peke yangu huwa nafikiria mahali nilipoongea au kufanya pumba ndio muda mzuri wa kuamua jambo kama nimesoma au nimesikia kitu huwa ndio muda wa kutafakari hapo nitazunguka chumba kizima nitalala nitastuka ila usingizi ndio kitu kilichonipungua nina ugonjwa wa kutokulala ila ninaupenda
 
Mkuu unajaribu kuongea kitu kikubwa mno. Ebu tuanze kwenye maana kwanza then ndio tutarukie unapotaka kutupeleka..

Tabia ni sifa ambayo hua nayo mtu mmoja mmoja inaweza kutokana na jamii (mazoea, mila na desturi) au kurithi (kibailojia), tabia pia ipo katika matabaka ya kama kijiographia na saikoloji.... Hivyo huelezewa kama kitu kinachofundishika.

Tafuta eneo moja utusaidie wengi bongo zimejipinda.
 

hahahaaaaa nacheza kama chizi vile ofcoz mziki ndio unaniliwaza na akili inarelax
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…