Je, unaijua hapa kazi tu?

kiogwe

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
3,757
4,939
Kwa umri wangu huu tangu tumepata Uhuru miaka karibu sitini sasa kuna kauli mbiu nyingi ninezisikia kama ifuatavyo:1 Kilimo chakufa na kuzikana 2 siasa ni kilimo 3 kilimo chakufa na kupona 4 zile za elimu amabazo ni nyingi sana na maarufu elimu ni ufunguo Wa maisha 5 kuna hizi za juzi juzi mkukuta,Mkurabita,Matokeo makubwa sasa,Kilimo kwanza na hapa kazi tuu. Wadau kuna hii ya sasa sio rasmi inafanana na tokomeza ujangili. Hii yakuwataja watu au kuwahusisha na unga. Je kuna hata moja ambayo iliwahi kufanikiwa? Na je zinakuwa ziko kimkakati au kisanaa? Naomba wadau hizi slogan na nyingi ambazo sijazitaja mniorozeshee zilivyofanikiwa.
 
Back
Top Bottom