Kong xin cai
Member
- Dec 12, 2020
- 83
- 94
😂😂 Atar sanaHii nchi ni ya mbulung'weng'we yaliyokariri taaluma
Hupati mtu humu
Kutwa kuchwa ni kuuliza nisomee kozi gani yenye fursa
Asante Kwa mawazo.Hiyo kozi ni nzuri...
Tatizo naona kwenye ajira...
Unaweza kuishia kua mwalimu wa physics...
nadhani umenielewaAsante Kwa mawazo.
Asante mkuuKwanzq nitangulize pole kwa kwenda kusoma hiyo kozi.
Lkn nitangulize pia hongera kwa kusoma kitu unachikipenda.
Natanguliza shukran.
Naomba namba yako ya simuMimi ni mwanafunzi ninayechukua kozi ya bachelor ya fizikia hapa chuo Cha Harvard nchini Tanzania.
Nimespecialize kwenye kitengo Cha medical physics.
Kwa ufupi medical physicist anafanya kazi katika maeneo tofauti tofauti yanayohusisha mionzi.
hospitals
-wanasimamia na kuthibiti ubora WA vifaa vinavyotoa mionzi
-wanahakikisha usalama WA mionzi Kwa watumishi( watumishi, wagonjwa na watu wengine)
-kwa hospital zinatoa matibabu ya kansa, medical physicist anashirikia na matabibu, radiographer, na radiologist kupanga, kuthibiti na kusimamia utoaji WA dosi.
Kwa upate WA viwandani, wanafanya kazi ya ukaguzi na kuthibiti ubora WA bidhaa Kwa kutumia vifaa vinavyotoa mionzi, vile kwenye upande WA mamlaka ya kuthibiti ubora Tanzania TBS
Kwa kuwa, kozi hii inahusisha taaluma imaging technology, je unafikili kozi hii ina manufaa Gani Kwa taifa?
vipi kuhusu uwanja WA ajira?
je Kuna kingine unachokifahamu kuhusu kozi hii??
Karibu kwenye blog yangu ya Tanzania medical physicists association ili tujifunze zaidi
⬇️⬇️⬇️⬇️⬇️⬇️⬇️⬇️
☢️☣️☣️☢️
Havard nchini Tanzania kiko mkoa gani hiki Chuo boss km hutajali naomba taarifa zaidi?Mimi ni mwanafunzi ninayechukua kozi ya bachelor ya fizikia hapa chuo Cha Harvard nchini Tanzania.
Nimespecialize kwenye kitengo Cha medical physics.
Kwa ufupi medical physicist anafanya kazi katika maeneo tofauti tofauti yanayohusisha mionzi.
hospitals
-wanasimamia na kuthibiti ubora WA vifaa vinavyotoa mionzi
-wanahakikisha usalama WA mionzi Kwa watumishi( watumishi, wagonjwa na watu wengine)
-kwa hospital zinatoa matibabu ya kansa, medical physicist anashirikia na matabibu, radiographer, na radiologist kupanga, kuthibiti na kusimamia utoaji WA dosi.
Kwa upate WA viwandani, wanafanya kazi ya ukaguzi na kuthibiti ubora WA bidhaa Kwa kutumia vifaa vinavyotoa mionzi, vile kwenye upande WA mamlaka ya kuthibiti ubora Tanzania TBS
Kwa kuwa, kozi hii inahusisha taaluma imaging technology, je unafikili kozi hii ina manufaa Gani Kwa taifa?
vipi kuhusu uwanja WA ajira?
je Kuna kingine unachokifahamu kuhusu kozi hii??
Karibu kwenye blog yangu ya Tanzania medical physicists association ili tujifunze zaidi
⬇️⬇️⬇️⬇️⬇️⬇️⬇️⬇️
☢️☣️☣️☢️
UDOM hiyo😄Havard nchini Tanzania kiko mkoa gani hiki Chuo boss km hutajali naomba taarifa zaidi?