Je unahitaji kuandaliwa tender document?

mfwimijr

JF-Expert Member
Dec 11, 2014
203
152
UNAHITAJI KUSHINDA TENDA ZA GPSA?

Sisi Kimi Dev Consult Ltd, ni wataalam na wazoefu wa KUANDAA TENDER DOCS za kazi mbalimbali: Huduma na Usambazaji bidhaa, kwa Wateja Serikali na taasisi zake: Tutakuandalia vizuri kwa kadri ya vigezo vya ushindani na sifa za ziada.

Kwakuwa wakati unakaribia GPSA kutangaza tenda zao...tunawaletea Huduma hii kwa kampuni yoyote iliyopo GPSA na zile ambazo ni Mpya mikoa yote Tz bara: Anza mapema usingoje wakati zimetangazwa kwakuwa unaweza kuwa huna vigezo, ukaamua kutatua hilo mapema, na hatimae Tender doc yako ikawa Timilifu na kushinda Tenda maeneo mbalimbali...

Karibu tukuhudumie kwa hili na utayarishaji wa Doc zingine (write-ups) za kibiashara na miradi.
Tupo kkoo, mtaa wa Ndovu/nyamwezi karibu na club ya Yanga, Congo bar.
No zetu ni 0692138944/0656907499
Blog: www.kimiconsultancy.blogspot.com
 
Back
Top Bottom