Hapo ndio ule umuhimu wakutooa single mama unaonekana.Nimeachana nae miaka 9 lakini namkumbuka ni balaa na tunawasiliana kwa ajili ya watoto na tunakula tunda, anaishi na jamaa lakini nikimuhitaji anakuja muda wowote ingawaje naishi na mwingine. Napiga mahesabu ya kurudiana nae
Hongera.Nimeachana nae miaka 9 lakini namkumbuka ni balaa na tunawasiliana kwa ajili ya watoto na tunakula tunda, anaishi na jamaa lakini nikimuhitaji anakuja muda wowote ingawaje naishi na mwingine. Napiga mahesabu ya kurudiana nae
Sasa mbio za nini au mnakimbizana?Niko mbioni kuachana naye, mwisho wa wiki nitakutafuta tuongee.
Sasa mbio za nini au mnakimbizana?
Ushamwambia utamwaacha?Ndio tunakimbizana, labda aache yeye kwanza.
Ushamwambia utamwaacha?
Haya bwana mrs Athlete...inabidi mshiriki Olympic sasa kule Doha na Mr. AthleteNiko mbioni
Haya bwana mrs Athlete...inabidi mshiriki Olympic sasa kule Doha na Mr. Athlete
Naruhusiwa kuapply?Olympic mbali....
Weekend ijayo tu.....
Nitakaribisha applicants wapya...
Naruhusiwa kuapply?
Kwani sisi jogoo na mtetea?Kama unaweza kukimbizana......karibu
Pole sana... kama mmeachana either for good or bad... kwa nini uendelee kuumia?
Forget about the past, thing of the present...
Cc: mahondaw
Kuna ile mmeachana lakini bado mnapendana....ila haiwezekani kuwa pamoja....
Huwa inachukua mda kusahau...na ipo siku utakumbuka tu....