Je unafahamu nini kuhusu instant gratification

Joined
Mar 21, 2024
Posts
35
Reaction score
68
Hili neno maana yake kubwa ni hali ya kupata furaha, raha au kuridhika mara moja bila kusubiri kwa faida ya baadae......

Kwenye maisha yetu ya kila siku tunaweza kuwa tunapitia hii hali.....

Mifano ipo mingi sana kama vile mtu anayetaka kutumia pesa badala ya kuweka akiba kwa ajili ya kesho yake yeye anatumia sasa.....

Lakini hata mtu ambaye yupo kwenye madawa ya kulevya ni rahisi sana kuingia huko kwa sababu ya kutafuta raha ya muda mfupi......

Ukitaka kufanikiwa kujenga tabia mpya ni vema uanze kupambana na instant gratification...........
 

Attachments

  • 841085364_1494056769436805_4560871505682444545_n.jpg
    254.1 KB · Views: 3
Shusha nondo kuhusu INSTANT GRATIFICATION 🙏
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…