Je, unaelewa nini mwanamke akisema anapenda mwanaume romantic?

Wanaume wengi sana ninaowajua wanaofanya hayo yote ndio wanaongoza kwa KUACHWA/kumegewa kila uchao wao ni kulia tu. On the other hand, kuna watu nawajua hawafanyi HATA MOJA kati ya uliyoyataja na kila siku wako na pisi kali zimewazunguka left, right and center!

Ukiwa romantic na kuendekeza mapenzi ya kwenye video utanyanyasika sana hapa duniani.
No research no right to speak
 
Mwanaume Romantic ni yule ambaye anatekeleza maazimio ya mwanamke ikiwemo kumpa mapesa,kumpigia simu za kumjulia hali kila saa na kujibebesha majukumu yoyote yale ilihali kuhakikisha tu mwanamke wake hapati tabu! Kumafatafata saluni na gari, chuoni, kumpitia kazini 😅

Matokeo yake sasa....😅😅😅😅 mungu nifundishe kunyamaza!!!
 
Bongo Romantic ni wale waume za watu mnaowaganda na kuwatwanga Invoice 😅😅😅 ndio mfano halisi!

Kwa sie makapuku tunaopiga free kende tunahesabiwa mabaharia tu!
Mwanaume akiwa Romantic anatuma na hela, uromantic wa maneno hauna nguvu kumjali mwanamke ni sawa na kumtimizia mahitaji yake. Kuwa Romantic ni broad term almost kwa kila idara lakini ni jinsi gani unamjali mwenzio kwa kiwango gani, kumsikiliza na kutumia kauli laini siziso Muumiza
 
Kwa uelewa wangu Ni Yule ambae kauli zake sio za kutukana, sio za dharau, hata akikasirika au mkikwazana anasolve Mambo kwa kufikilia zaidi na kwa upendo , pia it includes na matendo like usikae unasubiri nikwambie nishike mkono tukiwa tunatembea, usisubiri nikwambie uninunulie Zawadi, usisubiri nikuombe pesa , usisubiri nikwambie nitoe out weekend, usisubiri nikwambie nahitaji unifanyie shopping, usisubiri nikwambie tuchat au piga cm ,ukiwa gentleman vitu Kama hivi unajiongeza mwenyewe na unafanya kwa wakati wako bila kushurutishwa thank you!!!
Heheheheheheh baba yako mzazi anafit zaidi katika hii angle 😂
 
Kwa uelewa wangu Ni Yule ambae kauli zake sio za kutukana, sio za dharau, hata akikasirika au mkikwazana anasolve Mambo kwa kufikilia zaidi na kwa upendo , pia it includes na matendo like usikae unasubiri nikwambie nishike mkono tukiwa tunatembea, usisubiri nikwambie uninunulie Zawadi, usisubiri nikuombe pesa , usisubiri nikwambie nitoe out weekend, usisubiri nikwambie nahitaji unifanyie shopping, usisubiri nikwambie tuchat au piga cm ,ukiwa gentleman vitu Kama hivi unajiongeza mwenyewe na unafanya kwa wakati wako bila kushurutishwa thank you!!!
hongera sana mkuu, yani wewe ni best lover
unatakiwa kuwa UNIQUE kwa mwanamke wako, licha ya kufanana jinsia na wanaume wengine lakini still we ni unique kwa mke wako
 
Wanaume wengi sana ninaowajua wanaofanya hayo yote ndio wanaongoza kwa KUACHWA/kumegewa kila uchao wao ni kulia tu. On the other hand, kuna watu nawajua hawafanyi HATA MOJA kati ya uliyoyataja na kila siku wako na pisi kali zimewazunguka left, right and center!

Ukiwa romantic na kuendekeza mapenzi ya kwenye video utanyanyasika sana hapa duniani.
hahaaa, huwezi ukawa mchafu ukawa na attraction my be ukawa vizuri kuprovide needs tu
 
Kuna vitu viwili napenda niviongelee hapa.

1.EMOTIONAL CONNECTION

2.CHEMICAL BOND

Sasa lengo la kuwa romantic mwanaume kwa mwanamke ni kutengeneza EMOTION CONNECTION, sasa what does it mean?

Emotiona connection, ni kumfanya mwanamke kuungana na wewe kihisia zaidi, how?

Moja lazima utenegeneze ATTRACTION, Kwake hapa naongelea AETHETICS attraction, yaani kumvuta mtu kwa muonekano wako yaani your general personality sasa hapa unahitaji kuwa smart sana, kuanzia usafi wa kichwa,mavazi,unyunyu hapa nazani kwa unyunyun tumia greed aventus,invctus, ukiwa smart ni rahisi kumvutia mtu yeyote, wanasema your personality is your busness card

Ukifaulu kwa AETHETICS ATTRACTION, ni rahisi tena kumvuta mwanamke kwa PHYSICAL ATTRACTION, hapa ni kumfanya apende kuwa karibu na wewe kupiga stori and so on, sasa ukifanikisha haya naenda kukuelezea EMOTION CONNECTION

EMOTION CONNECTION =ATTUNMENT

A=ATTEND, means give undivided attention when needed, attend equal affection, is the request for connection with her hapaa inaangukia kwenye point ya kumpa KAMPANI mwanamke, yaani kuwa nae karibu kwa muda mwingi, kumsaidia kazi, kutembea nae,kumshauri n.k kumbuka MWANAMKE anatafuta SECURITY ,kwa mwanaume, yaani ajione yuko safe kwa mwanaume kivipi? Yaani uwe mtu wa kwanza kukuambia shida yake yoyote inayomsibu, yaani anakuwa huru na wewe anakufunulia kila kitu cha moyoni mwake bila woga wowote kwasababu anajua yuko safe na wewe.

TT=Turn Toward, face to face, eyeball to eyeball yaani ukiwa unatekeleza ATTEND, basi ukiwa unamsikiliza hakikisha unakodolea kale keusi kwenye macho yake, yaani unamuangalia bila kukwepesha ndani ya jicho lake, sio kwa nje hapana, yaani yeye anakuona kama unamwagalia kikawaida but wewe unahakikisha kale kajitu keusi kwenye macho yake mawili unakodolea hapo kwa macho ya ulegevu makali ukiwa unamsikilza bila kukwepesha macho yako hapa unaifanya TASWIRA yako ikae ubongoni mwake kwa muda mrefu kupitia jicho lake, kozi the way unamumuulika ndani ya macho yake kwa concetretion ndivyo unavyo create affection kwenye UBONGO wake.

U=Understudy, yaani ukiwa unaaply hizo point hapo juu, jitahidi ubongo wako kuufanya uelewe mwanamke anahitaji nini pindi aongeapo na wewe, akikuuliza swali jitahidi ulielewe faster ukishaelewa USITOE JIBU hapohapo, mjibu indirectly yaani mpe kwanza maelezo mengi kabla hujampa jibu , why?? Unamfanya awe na shauku ya kusubilia jibu, tofauti na ukimjibu papokwapapo utakata concetretion yake, atajua kwamba kumbe is very simple that question, so hapa utahack muda wake na kumfanye awe na hamasa ya kukusikiliza wewe.

N=Non defensive listening hapa akiwa anaongea usiwe mutu wa kubishana nae , oky? Hapa uwe kama unachora graph za kupanda na kushuka, msikilize kwanza hadi mwisho akimaliza uongee na wewe sasa, hapa atajua kuwa unamuheshimu sanaa, mwanamke anapenda kusikilizwa na shida zake uweze kuzielewa kwa wakati huo.

E=Empathy, kwa Kiswahili ni huruma uwe unamoyo wa huruma sio unakuwa katiri matatizo yake, shida zake zote zivaa ziwe shida zako, sio mtu anaumwa hata kumufulia nguo,kupika,kudeki unashindwa, wazazi wake wanashida hata kutoa 10000 unashindwa, huruma ni TUNDA la ROHO mtakatifu kama ulisoma KATEKISIMU, empathy kuleta faida nyingi, upendo,Baraka n.k

nazani hadi hapa tuko sawa kuhusu kuwa ROMANTIC mwanaume kwa mwanamke

summary

being ROMANTIC= ATTRACTION(AETHETICS+PHYSICAL) + ATTUNMENT Finally you will have EMOTIONAL CONNECTION

hapa ndo mtu unamfanya awe mtumwa kwakwo, kwasababu unachukua 60% ya furaha yake unaweza ku OFF na ku ON furaha yake, so atajiona bila wewe nothing can go on

hadi hapa sijaongelea mambo ya fedha! EMOTIONAL CONNECTION is more powerful than MONEY

2. CHEMICAL BOND/CONNECTION

Hapa ni tofauti kidogo na mwanzo kwamba ya kwanza unaweza ukawa mzuri lakini hii ukawa mbovu nah ii inanguvu zaidi ya kwanzaa, kwasababu hii inaoonglea hormones, ile ilikuwa inaongela EMOTIONS both negative and POSITIVE( yaani kuamsha HISIA JUU(positive emotions, na kushusha hisia CHINI(Negative emotion)) sasa huku ni mziki mwingine na huu hauitaji FEDHA

What is chemical bond in love??

Hapa unaungana na mwanamke kimuhemko(kihomoni zaidi) which homoni?? Sex hormones oky??? Kuna mnyama anitwa OXYTOCIN hormone, unamfahaamu?? Ulalapo na mwanamke ukamfuck hadi akafika kileleni, huwa kwenye ubongo kuna homoni hutolewa ambayo ni happy homoni inaitwa oxytocin hormone, hii ndio inamfanya mwanamke ajisikie furaha pale anapoorgasim.

Sasa kadri unavoweza kutrigeer hii homoni kwa mwanamke itolewa na ubongo mala nyingi, ndivyo unavyotengeza chemical bond nae, yaani hapa ndo unasikia mke wa waziri anatembea na fundi cherehani, kumbuka miili yetu inaongozwa na vichocheo ambavyo ni hormones so they are out of our control, kuwa na nyege is out of your contro it just happen, so hata uwe msomi wa level gani, ukiwa na kiu ya kutoa oxytocn lazima uitafute dawa popte pale panapowezekana, oky?

Na inasemakana OXYTOCIN ndio inayomuunganisha MAMA na MTOTO wake, yaani mototo akiwa mdogo amjue mama zaidi ya BABA, Aahaha!

Summary namba mbili

EMOTIONAL CONNECTION + CHEMICAL BOND = CRAZY BOND

Sasa hadi hapa sijaongelea mambo ya FEDHA sasa naenda kuongelea fedha katika mapenzi

Tunasema woman don’t LOVE MEN, they LOVE what WE provide to them what are those?

1.NEEDS

2.DESIRE

Haya needs namanisha mahitaji ya msingi kama chakula,nyumba, life expenses hapa ndo fedha inaangukia, sasa ili ufulfill hivyo inakubidi uwe na pesa tofauti na hapo unafeli.

Ila fedha kwenye BRAIN AFFECTION haina madhara sana so usichukulie kwamba ukiprovide needs to woman atakupenda daima , atakupa mapenzi daima hapana, kwasababu SEX is 90% more in brain than other areas.

Mbili DISIRE, hii teali nishaongelea, ni hamasa inayotokea ndani ya mwili wa mtu

DISIRE= EMOTION + CHEMICAL BOND,

Sasa nazani umeona nguvu ya FEDHA na ROMANTIC BEHAVIOR kwenye mapenzi

Ni mawazo yangu tu, nazani wanasaikolojia wataongezea?

KARIBU​
Huwa naelewa ya kuwa Mwanamke huyo hajielewi.
 
Na hii niliosoma hasubuhi kuwa PAPA ameficha kuwa padri alikuwa ana lawiti watoto.. ( na m hii kumuingilia mtu kinyume na maumbile ikoje hii ukiachana na ilee mtoto wa kiume kuzaliwa na homoni za kike au wa kike kinyume chake) hii tunaiweka wapi et? Hawa MAPADRI hawana pesa au mihemko imezidi.. dunia inachanganya wakuu
 
Ukitaka mwanaume uwe Romantic...inabidi usitabirike katika mapenzi,,, Mwanamke abaki anjiuliza hivi uyu ananipenda au lah??,,,?hapo mwanamke ataongeza mapenzi kwako,,,,sasa mwanaume jifanye unapenda sana na mwanamke alitambue hilo...utajuta maana upendo utaeegemea upande mmoja...NARUDIA...MWANAUME USITABIRIKE
 
Kwa uelewa wangu Ni Yule ambae kauli zake sio za kutukana, sio za dharau, hata akikasirika au mkikwazana anasolve Mambo kwa kufikilia zaidi na kwa upendo , pia it includes na matendo like usikae unasubiri nikwambie nishike mkono tukiwa tunatembea, usisubiri nikwambie uninunulie Zawadi, usisubiri nikuombe pesa , usisubiri nikwambie nitoe out weekend, usisubiri nikwambie nahitaji unifanyie shopping, usisubiri nikwambie tuchat au piga cm ,ukiwa gentleman vitu Kama hivi unajiongeza mwenyewe na unafanya kwa wakati wako bila kushurutishwa thank you!!!
Tell you father
 
Ukitaka mwanaume uwe Romantic...inabidi usitabirike katika mapenzi,,, Mwanamke abaki anjiuliza hivi uyu ananipenda au lah??,,,?hapo mwanamke ataongeza mapenzi kwako,,,,sasa mwanaume jifanye unapenda sana na mwanamke alitambue hilo...utajuta maana upendo utaeegemea upande mmoja...NARUDIA...MWANAUME USITABIRIKE
umenena vyema, tungependa utudadafulie vizuri kuhusu kutotabirika.
 
Back
Top Bottom