Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,882
- 155,860
Wanawake ni wajanja, werevu, watundu na wana mbinu nyingi zaidi ya wanaume.
Wanawake ni wajanja, werevu, watundu na wana mbinu nyingi zaidi ya wanaume.
Mie nina mtizamo tofauti.So many womens are crying out there kwa sababu ya kudanganywa na kutendwa na wanaume.Na ndio maana kuna vyama vingi vya kutetea haki za wanawake kuliko vya kutetea haki za wanaume.Na vitu vingi tunapenda kuonewa huruma ili tupewe nafasi,mfano katika uongozi kuna viti maalumu.Sasa huu ujanja unatoka wapi hasa?
Wanawake ni wajanja, werevu, watundu na wana mbinu nyingi zaidi ya wanaume.
Wanawake ni wajanja, werevu, watundu na wana mbinu nyingi zaidi ya wanaume.
eeeeeeeeh uncle hukujua hilo?
charity katoa pointi zake zinazomfanya aamini vinginevyo, sasa na ninyi mnaounga mkono kama mashabiki tafuteni point sio muishie kuunga mkono hoja mia kwa miakama ccm!
Heri fl1 yeye kasema anatafakari akiwa na tangawizi pembeni na akirudi anamwaga sera zake..............
Kwani kuunga mkono hoja kosa?mm nimemuuliza alikuwa hajui?akisema hajui ntamwambia sababu
Hayo yote yanatokea kwa kuwa mwanamke ameumbwa na moyo wa huruma lakini si kwamba we are dumb. Kwenye nyanja hizo za uongozi na hizo taasisi za kutetea haki za wanawake zipo tu kwa kuwa mwanamke hakypewa nafasi tangia zamani, alinyimwa nafasi makusudi na mwanaume akapewa power hiyo. Kwa ufupi ni mentality ya mfumo dume ndo imemfikisha mwanamke hapa alipo kiasi cha kumfanya anyanyaswe kila sector. Lakini ukweli ni kwamba ukichagua mwanamke na mwanaume ukawapa fursa sawa at 0 point bila mambo mengine yoyote, mwanamke ni clever tena sana tu. Thats what i believe though.Mie nina mtizamo tofauti.So many womens are crying out there kwa sababu ya kudanganywa na kutendwa na wanaume.Na ndio maana kuna vyama vingi vya kutetea haki za wanawake kuliko vya kutetea haki za wanaume.Na vitu vingi tunapenda kuonewa huruma ili tupewe nafasi,mfano katika uongozi kuna viti maalumu.Sasa huu ujanja unatoka wapi hasa?
Hayo yote yanatokea kwa kuwa mwanamke ameumbwa na moyo wa huruma lakini si kwamba we are dumb. Kwenye nyanja hizo za uongozi na hizo taasisi za kutetea haki za wanawake zipo tu kwa kuwa mwanamke hakypewa nafasi tangia zamani, alinyimwa nafasi makusudi na mwanaume akapewa power hiyo. Kwa ufupi ni mentality ya mfumo dume ndo imemfikisha mwanamke hapa alipo kiasi cha kumfanya anyanyaswe kila sector. Lakini ukweli ni kwamba ukichagua mwanamke na mwanaume ukawapa fursa sawa at 0 point bila mambo mengine yoyote, mwanamke ni clever tena sana tu. Thats what i believe though.