Je unaamini kuna siku michepuko itaisha ?

Je unaamini kuna siku michepuko itaisha ?

Yawezekana kwn michepuko nn bana, unachokifuata kwa mchepuko hata mwenza wako nae anacho. Hayo ni matumizi mabaya ya pesa
 
Inaweza siku utawala dhalimu wa ccm ukitolewa madarakani.
 
Kuna huu msemo unaosema kwamba "mwanaume by nature yupo kwaajiri ya wanawake wengi" na ndio maana ni ndoa chache sana ambazo hazihangaiki na michepuko

Siku hizi kama mwanaume yupo kwenye ndoa hana mchepuko basi inawezekana mkewe akawa na mchepuko au asiwe nao, hayo yote yanawezekana.

Makala nyingi sana zimeandikwa kuwasihi wakinadada watafute waume zao wenyewe ili wasitembee na waume za watu kitu ambacho kwa namna moja au nyingine naweza sema ni kama kumpigia mbuzi gitaa kwa dunia ya sasa.

Wapo wanawake ambao akigundua kwamba unamtongoza wakati una mke hawezi kukubalia ombi lako na wapo wanawake ambao hata ukimwambia kwamba umeoa na una watoto yeye hajali na anachojali zaidi ni maslahi yake hasa ya kiuchumi.

Kuna wanawake wengine huenda mbali zaidi ya kuomba hata apangishiwe nyumba na mume wa mtu na anakua hajali chochote kile kwamba jamaa ameoa au la.

Je kwa mtazamo wako wewe kama kijana mwenzangu, kuna siku unahisi michepuko itaisha kabisa na watu kutulia kwenye ndoa zao ?

Karibuni tuweze kubalishana mawazo


Wapiii, usijidanganye mkuu. Michepuko alikuwa nayo Mtume Mohammad enzi hizo karibia miaka ya elfu na kitu iliyopita na bado tu watu wanachapana kama hawana akili. Ukitaka kujuwa kwanini michepuko ni muhimu, jiulize kwanini Mtume Mohammad alikuwa na michepuko lukuki?
 
Michepuko haiwezi kuisha asilani na sababu za kuifanya iendelee kuwepo ni nyingi sana. Kikubwa ni wewe na uliyenaye kuamua kutulia,wenye kuchepuka acha waendelee kuchepuka.
 
Siku mtakapo tulia na wake zenu au mkardhika kabsaa na papuch moja michepuko itaisha kwa jina la Yesu wa Nazareth
 
Back
Top Bottom