Je, una mwanaume unampenda amekupa mimba amekimbia wala usilie fanya hivi

Eddy Love

JF-Expert Member
Jul 25, 2011
13,151
2,000
Leo naongea na mabinti ambao wanalea watoto wenyewe au wamepewa mimba na wametelekezwa au wewe ambaye uko kwenye mahusiano na mwanaume huku hujui akikupa mimba ukimuambia atakataa au atakubali nakuambia kamwe usilie kwa sababu umeachiwa mtoto au ujauzito na mwanaume.

Kitu cha kwanza na cha msingi kwa binti unapoanza mahusiano na mwanaume lazima kuna kitu unique kwa huyo mwanaume ndio mana ukawaacha wote na ukampenda.Sasa kama huyo mwanaume ana kitu unique basi hiyo ndio sababu kubwa ambayo inatakiwa ikupe amani hata kama atakupa mimba akukimbie.

Kitu cha pili kama wakati unapata mimba ilikuwa sio kwa kubakwa na siku hiyo mimba inaingia ulifurahia lile tendo basi hiyo ni sababu nyingine ya kukufanya usilie kwa sababu amekuachia mimba.

Leo jiulize kama umempenda mwanaume wako sababu kasoma sana ni meneja sehemu flani je huoni kama huyo mtoto tumboni anakuja kurithi akili za baba yake aje kuwa msomi baadae, kama umempenda mwanaume sababu ni mcheza mpira mzuri huoni kama kakuachia mchezaji wa baadae ambaye atakuja kuchezea timu kubwa akusaidie,

Kama mpenzi wako ni mwanamuziki huoni amekuachia zawadi ambayo kuna siku huyo mtoto ataenda kuimba kwenye majukwaa makubwa mama ukiwa unafurahia umati wa watu waliojaa kwenye show ya mwanao, kama mpenzi wako ni mfanyabiashara akikupa mimba akakuacha huoni kakuachia zawadi ya mtoto ambaye atakuja kumiliki biashara zake baadae.

Haina haja ya kulia kabisa na wala usihuzunike kuwa amekupotezea muda wako bali furahi maana amekuachia zawadi ambayo baada ya miaka itakuwa ndio faraja yako ya kweli.

Kama wewe binti una akili na mume aliyekupa mimba ana akili jua mtoto atarithi kutoka kwenye hizo akili zenu kwa maana hiyo hujabeba tu mtoto tumboni bali umebeba dini ambalo siku litakupa faida kubwa.
Kulia sana ni kumtia nuksi mtoto wako bali shukuru mungu na uamini kila jambo linatokea kwa sababu.
 
uniquelady

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
422
250
Leo naongea na mabinti ambao wanalea watoto wenyewe au wamepewa mimba na wametelekezwa au wewe ambaye uko kwenye mahusiano na mwanaume huku hujui akikupa mimba ukimuambia atakataa au atakubali nakuambia kamwe usilie kwa sababu umeachiwa mtoto au ujauzito na mwanaume.
Kitu cha kwanza na cha msingi kwa binti unapoanza mahusiano na mwanaume lazima kuna kitu unique kwa huyo mwanaume ndio mana ukawaacha wote na ukampenda.Sasa kama huyo mwanaume ana kitu unique basi hiyo ndio sababu kubwa ambayo inatakiwa ikupe amani hata kama atakupa mimba akukimbie.
Kitu cha pili kama wakati unapata mimba ilikuwa sio kwa kubakwa na siku hiyo mimba inaingia ulifurahia lile tendo basi hiyo ni sababu nyingine ya kukufanya usilie kwa sababu amekuachia mimba.
Leo jiulize kama umempenda mwanaume wako sababu kasoma sana ni meneja sehemu flani je huoni kama huyo mtoto tumboni anakuja kurithi akili za baba yake aje kuwa msomi badae,kama umempenda mwanaume sababu ni mcheza mpira mzuri huoni kama kakuachia mchezaji wa badae ambaye atakuja kuchezea timu kubwa akusaidie,kama mpenzi wako ni mwanamuziki huoni amekuachia zawadi ambayo kuna siku huyo mtoto ataenda kuimba kwenye majukwaa makubwa mama ukiwa unafurahia umati wa watu waliojaa kwenye show ya mwanao,kama mpenzi wako ni mfanyabiashara akikupa mimba akakuacha huoni kakuachia zawadi ya mtoto ambaye atakuja kumiliki biashara zake badae.
Haina haja ya kulia kabisa na wala usihuzunike kuwa amekupotezea muda wako bali furahi mana amekuachia zawadi ambayo baada ya miaka itakuwa ndio faraja yako ya kweli.
Kama wewe binti una akili na mume aliyekupa mimba ana akili jua mtoto atarithi kutoka kwenye hizo akili zenu kwa mana hiyo hujabeba tu mtoto tumboni bali umebeba dini ambalo siku litakupa faida kubwa.
Kulia sana ni kumtia nuksi mtoto wako bali shukuru mungu na uamini kila jambo linatokea kwa sababu.
Nina wasiwasi na mleta Uzi ,kama hajatelekeza mtoto huyu...........mmmh
 
Queen Horse

JF-Expert Member
Sep 12, 2013
400
500
Inaboa tu pale mnapowapa huo ujazito wadada wa watu af mkakimbia..wadada wanahangaika wee kuanzia kulea mimba, mtoto, school fees sometymz mpaka wengine dream za kuwa na happy marriage hawapati cz wababa wengi hawataki kuoa single mother.. At the latest stage katoto kako form four huko unaleta kende zako kudai mahakamani kwa visababu vilivyokuwa havina kichwa wala miguu... Aisee ladies let us wake up hataki mimba yake mpe contract kabisa tafta na mashahidi wa pande mbili pamoja na mwanasheria asaini na muhuri juu akija kukusumbua kamlaze central kwa sirro..
 
kagombe

JF-Expert Member
Mar 1, 2015
3,290
2,000
Leo naongea na mabinti ambao wanalea watoto wenyewe au wamepewa mimba na wametelekezwa au wewe ambaye uko kwenye mahusiano na mwanaume huku hujui akikupa mimba ukimuambia atakataa au atakubali nakuambia kamwe usilie kwa sababu umeachiwa mtoto au ujauzito na mwanaume.
Kitu cha kwanza na cha msingi kwa binti unapoanza mahusiano na mwanaume lazima kuna kitu unique kwa huyo mwanaume ndio mana ukawaacha wote na ukampenda.Sasa kama huyo mwanaume ana kitu unique basi hiyo ndio sababu kubwa ambayo inatakiwa ikupe amani hata kama atakupa mimba akukimbie.
Kitu cha pili kama wakati unapata mimba ilikuwa sio kwa kubakwa na siku hiyo mimba inaingia ulifurahia lile tendo basi hiyo ni sababu nyingine ya kukufanya usilie kwa sababu amekuachia mimba.
Leo jiulize kama umempenda mwanaume wako sababu kasoma sana ni meneja sehemu flani je huoni kama huyo mtoto tumboni anakuja kurithi akili za baba yake aje kuwa msomi badae,kama umempenda mwanaume sababu ni mcheza mpira mzuri huoni kama kakuachia mchezaji wa badae ambaye atakuja kuchezea timu kubwa akusaidie,kama mpenzi wako ni mwanamuziki huoni amekuachia zawadi ambayo kuna siku huyo mtoto ataenda kuimba kwenye majukwaa makubwa mama ukiwa unafurahia umati wa watu waliojaa kwenye show ya mwanao,kama mpenzi wako ni mfanyabiashara akikupa mimba akakuacha huoni kakuachia zawadi ya mtoto ambaye atakuja kumiliki biashara zake badae.
Haina haja ya kulia kabisa na wala usihuzunike kuwa amekupotezea muda wako bali furahi mana amekuachia zawadi ambayo baada ya miaka itakuwa ndio faraja yako ya kweli.
Kama wewe binti una akili na mume aliyekupa mimba ana akili jua mtoto atarithi kutoka kwenye hizo akili zenu kwa mana hiyo hujabeba tu mtoto tumboni bali umebeba dini ambalo siku litakupa faida kubwa.
Kulia sana ni kumtia nuksi mtoto wako bali shukuru mungu na uamini kila jambo linatokea kwa sababu.
kama kibaka.na baba yake alishapigwa moto
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom