Je, una mke/mume? Changamoto gani uliwahi kukutana nayo katika ndoa yako?

Hii yangu nahisi wengi huwa inawakuta ,Ila ngoja nichangie na wadau tupate faida kwa wote,
Kuna lipindi mdogo wangu wa kike alikuwa anaumwa halafu kwa bahati mbaya aliachwa na mume wake.Akaniomba aje kwangu ajiuguze ukiangalia mimi ndio kaka yao mkubwa . Nikamwambia wife kuwa wifi atakuja hapa kujiuguza kwa muda so jiandae kumpokea .Alinivunja moyo sio siri alidai kuwa yule alishaolewa na anasheria zake za familia yake so akija hapa tutaanza kukinzana kwani hatoweza kuishi kwa kunifuata mimi. Nikicheki sehemu ya kulala ipo kwa sababu wadogo zake huwa wanakuja na wanakaa zaidi ya mwezi lakini sijawahi kujisikia vibaya .Ila kwa hili roho iliniuma sana kwa sababu dogo nilishamwambia aje halafu mke wangu hataki.Mwisho akaniambia nichague moja kama atakuja mdogo wangu yeye arudi kwao .Nikazidi kuvurugwa ikanibidi nimshirikishe mama yake mama yake nikaona anaegemea upande wa binti yake.
Nikaenda kwa mdogo wangu nikamwambi kule kwangu hakuna mtu wa kukuangalia kwa ukaribu zaidi so nitakutafutia house girl akutunze hapa nyumbani(Alikuwa amerudi kwenye nyumba ya marehemu baba)
Ila nikakaa na mke wangu nikamwambia kuanzia leo wewe na mimi tutaishi wawili tu hapa sihitaji kuona ndugu yako wala ndugu yangu ili kusiwe na upendeleo na ikitokea akaja ndugu yako nitamdhalilisha mbele yako.
Na yeye akaenda kushitaki kwa mama yake ,Nikaitwa na nikatoa maelezo nikamwambia mama sisi wote tunafamilia nyuma yetu ndugu yangu ameshindwa kuja kuugulia nyumbani kwa sababu nyepesi sana leo hii mimi nitajisikiaje akija ndugu yake yeye wakati mimi ndiye mtoa huduma wakaniomba radhi .
Na mdogo wangu alikuja pale kwangu akaugua mpaka akapona na maisha yanaendelea vizuri.
Maisha ya ndoa yana changamoto nyingi sana
Daaaah!! Hii ingenitokea mimi nadhan saiz ningekuwa nishamtimua wife siku hiyo hiyo aliyomkataa ndugu yangu,

Nashukuru wife wangu hana ubaguzi wa kijinga, ndugu zangu na ndugu zake wamejazana hapa kwetu wanakula likizo zao na tunajisikia faraja sana kuona wadogo zetu wanapenda kuja likizo kwetu,
 
Mambo mengine yanatokea ili kujifunza mkuu siku hizi binadamu wana riho za ubinafsi sana.Wakati wazazi wetu walikuwa wanakusanya watoto wa jamaa zao kibao na waliishi nao na hata kuwasomesha kwa upendo.
 
Hii yangu nahisi wengi huwa inawakuta ,Ila ngoja nichangie na wadau tupate faida kwa wote,
Kuna lipindi mdogo wangu wa kike alikuwa anaumwa halafu kwa bahati mbaya aliachwa na mume wake.Akaniomba aje kwangu ajiuguze ukiangalia mimi ndio kaka yao mkubwa . Nikamwambia wife kuwa wifi atakuja hapa kujiuguza kwa muda so jiandae kumpokea .Alinivunja moyo sio siri alidai kuwa yule alishaolewa na anasheria zake za familia yake so akija hapa tutaanza kukinzana kwani hatoweza kuishi kwa kunifuata mimi. Nikicheki sehemu ya kulala ipo kwa sababu wadogo zake huwa wanakuja na wanakaa zaidi ya mwezi lakini sijawahi kujisikia vibaya .Ila kwa hili roho iliniuma sana kwa sababu dogo nilishamwambia aje halafu mke wangu hataki.Mwisho akaniambia nichague moja kama atakuja mdogo wangu yeye arudi kwao .Nikazidi kuvurugwa ikanibidi nimshirikishe mama yake mama yake nikaona anaegemea upande wa binti yake.
Nikaenda kwa mdogo wangu nikamwambi kule kwangu hakuna mtu wa kukuangalia kwa ukaribu zaidi so nitakutafutia house girl akutunze hapa nyumbani(Alikuwa amerudi kwenye nyumba ya marehemu baba)
Ila nikakaa na mke wangu nikamwambia kuanzia leo wewe na mimi tutaishi wawili tu hapa sihitaji kuona ndugu yako wala ndugu yangu ili kusiwe na upendeleo na ikitokea akaja ndugu yako nitamdhalilisha mbele yako.
Na yeye akaenda kushitaki kwa mama yake ,Nikaitwa na nikatoa maelezo nikamwambia mama sisi wote tunafamilia nyuma yetu ndugu yangu ameshindwa kuja kuugulia nyumbani kwa sababu nyepesi sana leo hii mimi nitajisikiaje akija ndugu yake yeye wakati mimi ndiye mtoa huduma wakaniomba radhi .
Na mdogo wangu alikuja pale kwangu akaugua mpaka akapona na maisha yanaendelea vizuri.
Maisha ya ndoa yana changamoto nyingi sana
Siamini kama ni maisha ya ndoa yana changamoto ama tabia zetu binafsi tulizolelewa nazo huyo mkeo hana upendo ni mbinafsi na mchoyo naturaly so hana huruma na mtu asiyemjua hata kama angekua si dada ako akawa ni mtu baki ingekua shida pia .Hivyo basi tuwalee watoto wetu katika misingi mema na upendo kwa kila mtu ataishi na kila mtu.
 
Daaaah!! Hii ingenitokea mimi nadhan saiz ningekuwa nishamtimua wife siku hiyo hiyo aliyomkataa ndugu yangu,

Nashukuru wife wangu hana ubaguzi wa kijinga, ndugu zangu na ndugu zake wamejazana hapa kwetu wanakula likizo zao na tunajisikia faraja sana kuona wadogo zetu wanapenda kuja likizo kwetu,
Amen .Tazama ilivo vema ndugu wakae pamoja kwa umoja shetani anaaibika.
 
Hii yangu nahisi wengi huwa inawakuta ,Ila ngoja nichangie na wadau tupate faida kwa wote,
Kuna lipindi mdogo wangu wa kike alikuwa anaumwa halafu kwa bahati mbaya aliachwa na mume wake.Akaniomba aje kwangu ajiuguze ukiangalia mimi ndio kaka yao mkubwa . Nikamwambia wife kuwa wifi atakuja hapa kujiuguza kwa muda so jiandae kumpokea .Alinivunja moyo sio siri alidai kuwa yule alishaolewa na anasheria zake za familia yake so akija hapa tutaanza kukinzana kwani hatoweza kuishi kwa kunifuata mimi. Nikicheki sehemu ya kulala ipo kwa sababu wadogo zake huwa wanakuja na wanakaa zaidi ya mwezi lakini sijawahi kujisikia vibaya .Ila kwa hili roho iliniuma sana kwa sababu dogo nilishamwambia aje halafu mke wangu hataki.Mwisho akaniambia nichague moja kama atakuja mdogo wangu yeye arudi kwao .Nikazidi kuvurugwa ikanibidi nimshirikishe mama yake mama yake nikaona anaegemea upande wa binti yake.
Nikaenda kwa mdogo wangu nikamwambi kule kwangu hakuna mtu wa kukuangalia kwa ukaribu zaidi so nitakutafutia house girl akutunze hapa nyumbani(Alikuwa amerudi kwenye nyumba ya marehemu baba)
Ila nikakaa na mke wangu nikamwambia kuanzia leo wewe na mimi tutaishi wawili tu hapa sihitaji kuona ndugu yako wala ndugu yangu ili kusiwe na upendeleo na ikitokea akaja ndugu yako nitamdhalilisha mbele yako.
Na yeye akaenda kushitaki kwa mama yake ,Nikaitwa na nikatoa maelezo nikamwambia mama sisi wote tunafamilia nyuma yetu ndugu yangu ameshindwa kuja kuugulia nyumbani kwa sababu nyepesi sana leo hii mimi nitajisikiaje akija ndugu yake yeye wakati mimi ndiye mtoa huduma wakaniomba radhi .
Na mdogo wangu alikuja pale kwangu akaugua mpaka akapona na maisha yanaendelea vizuri.
Maisha ya ndoa yana changamoto nyingi sana
pole sana mkuu..kuna watu hawatambui damu nzito........
 
Ni kweli mkuu lakini ktk swala la kiimani Mungu ametusisitizia sana sana upendo na akasema umpende jirani yako kama nafsi yako na si ndugu yako tu hii ina maana tupendane wote haijalishi nakujua sikujui kwa kupitia upendo we connect lakini shetani kapandikiza roho za chuki na ubinafsi ndani ya roho za wanadamu na kafanikiwa kwa kiwango kikubwa na ndo maana hofu ya Mungu ndani ya watu hakuna sababu hakuna upendo.So upendo wa Mungu ni silaha muhim ktk maisha yetu.
 
Pole sana mtoa mada,ila umelihandle suala hilo kiutu uzima na kwa busara.
 
Mume kushindwa kufanya lolote la uzalishaji, miradi yote ukianzisha yeye ni kuiua, halafu anapenda kugegeda kuliko kuwaza maendeleo.
 
Back
Top Bottom