Je, Una maoni gani juu ya mahari?

Je, Una maoni gani juu ya mahari?

iendelee ila wanawake ndo tuwatolee mahari wanaume I we kidigital zaid ukileta ujuaji nikukung'uteee
 
hahaha umenichekesha sana poti but remember hivyo vitu vyote vina stand as money(represent money) na sio lazima utoe yote japo sio rahisi lazima wakugande ili kupima msimamo wako wa kujieleza ndo maana wanakuchalenji hii ni mbinu iliyokuwa inatumiwa na mababu zetu kwenye suala la mahari ili kujua kwamba uko tayari kuishi na binti yao hata utajiwe mamilioni ya fedha. haina maana kwamba kias unachotajiwa ndio utoe maana ndoa ni makubaliano ya mke na mume ndo maana siku hizi hata kama ukishindwa kutoa kias kilichotajwa unapewa tu mke. mm mwenyewe last week tumetoka kutoa laki saba ya mahari although walitutajia tsh milioni moja na nusu,ss tuliwaelezea why hatukutoa hiyo milion kutokana na hali ya uchumi so wakaridhika na maelezo yetu wakaipokea. for my opinion sioni tatizo kwenye utoaji mahari ila tatizo lipo kwa muhoaji kushindwa kujielezea
 
iendelee ila wanawake ndo tuwatolee mahari wanaume I we kidigital zaid ukileta ujuaji nikukung'uteee
joyceful unasema wanawake ndo wawatolee wanaume mahari. ila usije ukasema nao wanaume tuwafanyie kitchen party na send off
 
Back
Top Bottom