Je, una imani na serikali ya Tanzania?

Je, una imani na serikali ya Tanzania?

Watanzania wazalendo hatuwezi kuacha kuwa na Imani na serikali yetu tukufu.
 
Tanzania ina serikali au genge la wahuni serikalini?

Sina imani hata chembe moja.
 
chumvi ikiharibika utaifanyaje irudi kuwa nzima ccm ni chumvi iliyo haribika
 
tulirusie swali au?
 
naendelea kupita tuu
 
Back
Top Bottom