Kuna umuhimu wa kuingia msituni. Au kuwa gaidi.
Hili swali ni sawa na kumuuliza mcha Mungu, "una imani na shetani?"
nnooooooooo......!!!
Sina kabisa.
Sina hataa chembe
Itatoka wapi hiyo imani? Unaziamini kazi za kichina?
Naungana na mawazo yote hapo juu.ni serikal i ya kihuni...sina wala sitakuwa na imani nayo...majanga!
Ma GREAT THINKERS.
Swali jepesi ambalo naomba kuuliza wana jamvi hili.
Je mna imani na serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ambayo inaongozwa na CHAMA CHA MAPINDUZI?