Wewe unaishi nchi ga
nchi ya simiyu ambayo sifa zake ni kwamba wananch wake ni maskin sana na wajinga kupita kias maradh yanawaandama kwa ajili ya wanafunz na walim bado wanakunya porini nch hii ya kiimla ukiwa mfalume unamilik kila kitu yan mal zote watu wote yan hata wake zao ni mal yako maziwa asal zilizopo apa ww ndo unaamua umpe nan?wanao wanafanya wanachotaka wanakusanya mali wanavyotaka na wanajiandaa kuchukua madaraka ila kikubwa zaid ni ile ngoma ya vigor inapopigwa mfalume wetu hua anahusudu mno atajiokotea kigol moja na kwenda nacho ng'ambo uk,china,usa,dubay,french,jeman, na sehem kibao ana vyumba vya kudumu kwa ajil ya kaz hiyo HI NDO NCH NINAYOISH NA NNA IMAN NAYO MKUU