Je, una idea ya business lakini hufahamu jinsi ya kuifanya iwe online based business na kupata wateja? Let me help you

GLOBAL CITIZEN

JF-Expert Member
Jun 5, 2014
774
1,000
Mambo vipi?

Una idea ya biashara unayotaka kuifanyia mtandaoni lakini hufahamu utaanzaje? Hufahamu utapata vipi Wateja watakaonunua bidhaa/product au huduma/service yako? Hufahamu utawezaje kukuza biashara yako na kuwa biashara inayoeleweka? Kama ndiyo nipo tayari kukusaidia Step by step toka mwanzo wa idea yako hadi kuwa real Business.

Binafsi nipo na uzoefu sehemu hii. Kwa miaka kadhaa nimekuwa nikifanya Online Business/Hustle na nimefanikiwa kuunda Business kadhaa. Kuanzia mwezi December mwaka jana nimeweza kuunda brand yangu ya Online Hustle Tz (Online Business Consulting) na nimetengeneza zaidi ya Tsh 5M in total profit. Hii Business ni 100% Online. Na zaidi ya 90% ya kazi nafanyia kwenye smartphone yangu. Strategy yangu yakuunda Online Business ni simpe lakini very effective.

1 • Nitakusaidia kuweka idea yako vizuri ili iwe inauzika Online. Kumbuka si kila idea inaweza kuwa business hata kama unadhani ni nzuri vipi. Na ili Online Business yako ifanikiwe inabidi uanze vizuri hapa mwanzo.

2 • Nitakuonyesha jinsi yakupata Wateja watakaokunamini. Hapa ni muhimu sana. If you don’t know how to get customers/clients basi huna biashara. Nitaweka mkazo hapa kwasababu lengo ni kupata customers watakokulipa pesa.

3 • Jinsi yakufanya automation ili usiwe na mzigo mkubwa wakusimamia Business yako. Sasa hivi zipo software nyingi zinazoweza kupunguza kazi nyingi zakujirudia rudia. Hapa nitakakuonyesha jinsi ninavyoendesha Brand yangu nikiwa mwenyewe kwa msaada wa software chache.

4 • Jinsi yaku-scale up biashara yako. Hapa ni baada ya kupata mafanikio ya awali. Nitakusaidia kukuonyesha mbinu zakuwafikia potential customers wengi zaidi huku ukiendelea kujenga trust kwa customers wa awali.

Niandikie kwenye email yangu makingmoneyonlinetz@gmail.com I will reply every single email.
 
Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Sep 23, 2013
3,443
2,000
Mambo vipi?

Una idea ya biashara unayotaka kuifanyia mtandaoni lakini hufahamu utaanzaje?

Hufahamu utapata vipi Wateja watakaonunua bidhaa/product au huduma/service yako?

Hufahamu utawezaje kukuza biashara yako na kuwa biashara inayoeleweka?

Kama ndiyo nipo tayari kukusaidia Step by step toka mwanzo wa idea yako hadi kuwa real Business.

Binafsi nipo na uzoefu sehemu hii. Kwa miaka kadhaa nimekuwa nikifanya Online Business/Hustle na nimefanikiwa kuunda Business kadhaa.

Kuanzia mwezi December mwaka jana nimeweza kuunda brand yangu ya Online Hustle Tz (Online Business Consulting) na nimetengeneza zaidi ya Tsh 5M in total profit.

Hii Business ni 100% Online. Na zaidi ya 90% ya kazi nafanyia kwenye smartphone yangu.

Strategy yangu yakuunda Online Business ni simpe lakini very effective.

1 • Nitakusaidia kuweka idea yako vizuri ili iwe inauzika Online. Kumbuka si kila idea inaweza kuwa business hata kama unadhani ni nzuri vipi. Na ili Online Business yako ifanikiwe inabidi uanze vizuri hapa mwanzo.

2 • Nitakuonyesha jinsi yakupata Wateja watakaokunamini. Hapa ni muhimu sana. If you don’t know how to get customers/clients basi huna biashara. Nitaweka mkazo hapa kwasababu lengo ni kupata customers watakokulipa pesa.

3 • Jinsi yakufanya automation ili usiwe na mzigo mkubwa wakusimamia Business yako. Sasa hivi zipo software nyingi zinazoweza kupunguza kazi nyingi zakujirudia rudia. Hapa nitakakuonyesha jinsi ninavyoendesha Brand yangu nikiwa mwenyewe kwa msaada wa software chache.

4 • Jinsi yaku-scale up biashara yako. Hapa ni baada ya kupata mafanikio ya awali. Nitakusaidia kukuonyesha mbinu zakuwafikia potential customers wengi zaidi huku ukiendelea kujenga trust kwa customers wa awali.

Niandikie kwenye email yangu makingmoneyonlinetz@gmail.com I will reply every single email.
WANAKUJA KUKUPA MWONGOZO.
 
GLOBAL CITIZEN

JF-Expert Member
Jun 5, 2014
774
1,000
Njaa mbaya sana.

Stop being a hater.

I didn’t ask you to comment on my thread.

And for your information. I make good money selling my skills here on JF.

Hapo vipi?

Endelea kuwa jinga mkuu. Nitakuwa hapa all day everyday.

Niseme post za nyuma usikurupuke.
 
GLOBAL CITIZEN

JF-Expert Member
Jun 5, 2014
774
1,000
Ha haaaaaa hatari sana mkuu

Imebidi niende niangalie profile yako na huyo mwenzako.

Hakuna chochote cha maana kwenye maandiko yenu.

Je, nikisema uwezo wako wakufikiri upo chini sana nitakosea?

Mimi ni serial entrepreneur.

Siogopi kuanzisha au kuuza chochote kile.

Oops I know you won’t understand this also. You never been an entrepreneur before. You have no idea what it takes.

Keep on hating. That’s what haters do.
 
Slowly

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
5,808

Mkuu piga kazi acha mipasho...
 
kokudo

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
1,882
2,000
Imebidi niende niangalie profile yako na huyo mwenzako.

Hakuna chochote cha maana kwenye maandiko yenu.

Je, nikisema uwezo wako wakufikiri upo chini sana nitakosea?

Mimi ni serial entrepreneur.

Siogopi kuanzisha au kuuza chochote kile.

Oops I know you won’t understand this also. You never been an entrepreneur before. You have no idea what it takes.

Keep on hating. That’s what haters do.
Mkuu huu muda wa kuwajibu hawa ungekua unautumia kutusaidia sisi tunaohitaji ingekua poa sana
 
GLOBAL CITIZEN

JF-Expert Member
Jun 5, 2014
774
1,000
Usingejibu hizi taarabu ningefikiri upo sawa,lakini kwa taarabu hizi inaonyesha umtafuta fursa tu kama wengine.

Nop you are wrong.

I’m not here to make you feel good.

I’m here to do business. Not wasting my time.

And guess what?

The more you comment shit stuff on here the more people read my thread. And that’s money

You won’t understand this. Only online marketers do.
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
61,104
2,000
Woopie Goldberg kaanzisha kampuni ya kuuza bange online, Mimi nataka kuanzisha kampuni ya kuuza ndizi choma na mishikaki online
 
GLOBAL CITIZEN

JF-Expert Member
Jun 5, 2014
774
1,000
Woopie Goldberg kaanzisha kampuni ya kuuza bange online, Mimi nataka kuanzisha kampuni ya kuuza ndizi choma na mishikaki online

Yep that is very possible.

You need good delivery system.

Unaweza uza kitu chochote Online.

Binafsi nauza digital products.

Kwahiyo sihitaji kufanya shipping. Kila kitu kinaishia Online.
 
benny gilbert

Senior Member
Jul 4, 2018
100
225
WANAKUJA KUKUPA MWONGOZO.
Mambo vipi?

Una idea ya biashara unayotaka kuifanyia mtandaoni lakini hufahamu utaanzaje? Hufahamu utapata vipi Wateja watakaonunua bidhaa/product au huduma/service yako? Hufahamu utawezaje kukuza biashara yako na kuwa biashara inayoeleweka? Kama ndiyo nipo tayari kukusaidia Step by step toka mwanzo wa idea yako hadi kuwa real Business.

Binafsi nipo na uzoefu sehemu hii. Kwa miaka kadhaa nimekuwa nikifanya Online Business/Hustle na nimefanikiwa kuunda Business kadhaa. Kuanzia mwezi December mwaka jana nimeweza kuunda brand yangu ya Online Hustle Tz (Online Business Consulting) na nimetengeneza zaidi ya Tsh 5M in total profit. Hii Business ni 100% Online. Na zaidi ya 90% ya kazi nafanyia kwenye smartphone yangu. Strategy yangu yakuunda Online Business ni simpe lakini very effective.

1 • Nitakusaidia kuweka idea yako vizuri ili iwe inauzika Online. Kumbuka si kila idea inaweza kuwa business hata kama unadhani ni nzuri vipi. Na ili Online Business yako ifanikiwe inabidi uanze vizuri hapa mwanzo.

2 • Nitakuonyesha jinsi yakupata Wateja watakaokunamini. Hapa ni muhimu sana. If you don’t know how to get customers/clients basi huna biashara. Nitaweka mkazo hapa kwasababu lengo ni kupata customers watakokulipa pesa.

3 • Jinsi yakufanya automation ili usiwe na mzigo mkubwa wakusimamia Business yako. Sasa hivi zipo software nyingi zinazoweza kupunguza kazi nyingi zakujirudia rudia. Hapa nitakakuonyesha jinsi ninavyoendesha Brand yangu nikiwa mwenyewe kwa msaada wa software chache.

4 • Jinsi yaku-scale up biashara yako. Hapa ni baada ya kupata mafanikio ya awali. Nitakusaidia kukuonyesha mbinu zakuwafikia potential customers wengi zaidi huku ukiendelea kujenga trust kwa customers wa awali.

Niandikie kwenye email yangu makingmoneyonlinetz@gmail.com I will reply every single email.

Ingia kwenye website ya storika chagua namba then uje tuongee na tuingie ubia ufanye marketing.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom