Huo utafiti uliufanyia wapi ulaya au huku kwetu bongo,kama uliufanyia ulaya jaribu na huku kwetu na uandike kwa lugha ya huku maana majority wameona vumbi hata ww mwenyewe unaonekana umekopy na kupest bila kuelewa thus why kuelezea unashindwa halafu haukna ujumbe/funzo katika hiyo tafiti yako............na kama tafiti zote zingekuwa hivi ingekuwa balaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.