Je, umewahi kujisaidia vichakani?

Je, umewahi kujisaidia vichakani?

kyanyangwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
1,460
Reaction score
4,166
Me juzi juzi tu hapa nilikua nasafiri,tumbo la kuhara likanishika ghafla..nikapaki ka mkweche kangu pembeni,nikachukua maji niliyokua nimeyanunua kwa ajili ya kunywa nikaingia kichakani nikaendesha wee mpaka nikamaliza,ila muda wote niliokua nimechuchumaa nilikua na mawazo ya itakuaje niking'atwa na nyoka?
Vipi na wewe mdau,ushawahi kukutana na hali kama hii?
 
Ulikosea sana kuchukua maji kwenda kutawazia.Ulipaswa uchume majanj ndiyo utawazie.Na kumbuka:Unapokuwa umechuchumaa uweke mikono kwenye mashavu kama umepaki bodaboda huku unaangalia angani kwa tafakari kubwa sana.
 
Me juzi juzi tu hapa nilikua nasafiri,tumbo la kuhara likanishika ghafla..nikapaki ka mkweche kangu pembeni,nikachukua maji niliyokua nimeyanunua kwa ajili ya kunywa nikaingia kichakani nikaendesha wee mpaka nikamaliza,ila muda wote niliokua nimechuchumaa nilikua na mawazo ya itakuaje niking'atwa na nyoka?
Vipi na wewe mdau,ushawahi kukutana na hali kama hii?
Bila picha hauja utendea haki uzi huu
 
Me juzi juzi tu hapa nilikua nasafiri,tumbo la kuhara likanishika ghafla..nikapaki ka mkweche kangu pembeni,nikachukua maji niliyokua nimeyanunua kwa ajili ya kunywa nikaingia kichakani nikaendesha wee mpaka nikamaliza,ila muda wote niliokua nimechuchumaa nilikua na mawazo ya itakuaje niking'atwa na nyoka?
Vipi na wewe mdau,ushawahi kukutana na hali kama hii?
kung'atwa na nyoka tu? Kuna kuibukiwa na wanyama wakali kama simba, chui na fisi au majambazi
 
Me juzi juzi tu hapa nilikua nasafiri,tumbo la kuhara likanishika ghafla..nikapaki ka mkweche kangu pembeni,nikachukua maji niliyokua nimeyanunua kwa ajili ya kunywa nikaingia kichakani nikaendesha wee mpaka nikamaliza,ila muda wote niliokua nimechuchumaa nilikua na mawazo ya itakuaje niking'atwa na nyoka?
Vipi na wewe mdau,ushawahi kukutana na hali kama hii?
Ulikuwa ukijitia uoga bila sababu mkuu, nyoka anayereact ni yule unayemkanyaga ama mnayekutana naye ghafla zero distance.

Kuchuchumaa kisha nyoka akufuate, jambo hilo haliwezekani, nyoka hukimbia watu.

Mi' ilinitokea tumeenda msibani bush huko, choo ni kimoja kikawa kinatumiwa na kina mama, sisi wanaume tujijue!

Maji ama chakula cha msibani kikaniletea mushkeli tumboni, nikaenda kujiachia vichakani huko, ndipo nilipoenda kujigundua kwamba mi ni mlemavu kabisa kama walivyo walemavu wengine!

Shazoea choo cha kukaa kwa miaka mingi natumia, kumbe kilishanilemaza, kuchuchumaa siwezi!

Nikasukumwa kwa lazima kuchuchumaa kutokana na muwasho wa kuhara, miguu ilishindwa kukunjika ili kunibeba sawa sawa, nikajilazimisha tu kwenda chini mzima mzima kama ng'ombe anayezaa, nikawa nimepiga magoti sasa huku nimeishika ardhi kwa mikono miwili nimeshindwa kujibeba na kuanza kujisaidia bila utaratibu, almanusura nijinyee!

Nilipomaliza kujisaidia nijitawadheje sasa ni vituko, iyeeh!

Nikatambaa kama mnyama toka kwenye kinyesi nikichukua tahadhari nisijichafue, nikafosi kuchuchumaa kwa nguvu magoti yakawa yananiuma sana.

Nikausogelea mti nikafosi kuukumbatia kwa kuudabua, dumu la maji poa mkononi ndiyo nikapata balonce ya kuchuchumaa kutawadha.

Nikalifanya zoezi hilo kipumbaf pumbaf ili nimalize chap kwa haraka ninusuru magoti yangu kwa maumivu.

Kwenye kunyanyuka ndo kasheshe nyingine hapo tena!

Mti nilioukumbatia kuchuchumaa ndiyo nikautumia kama mkongojo kusimamia nd'onikaanza kufunga funga suruali, kwa mkono mmoja, mkono mwingine nimeushikilia mti nikawa nimelegea kabisa.

Nikashindwa hata kuchomekea nikavaa tu nyoro nyoro kunusuru miguu yangu na kupoza maumivu!

Baada ya hapo nikawa nawaza, kungelikuwa na 'onlooker' angeliinjoi sana 'seen' hiyo na kubakia na simulizi la maisha!

Baada ya kuugundua ulemavu huo, nikaanza zoezi la chumbani la kuchuchumaa na kunyenyuka mara 15-30 kila siku na kwa sasa nipo naendelea vizuri, improvement inaonekana.
 
Ndiyo,nimewahi na ni raha sana maana upepo kama woteeeee.
Ni moment nzuri.
Mimi ilikuwa kijijini huko nilienda kulima sasa wakazi wa kule wakiwa shambani ni mwendo wa kumaliza haja vichakani
Mara ya kwanza nilihisi aibu sanaaa ila nilikuja zoea na baada ya kuzoea nilikuwa napenda sana kumaliza haja vichakani kuliko chooni .

Huwezi amini hapo kijijini mpaka wasichana nao wanamaliza haja zao vichakani.

Kwahiyo ni mwendo wa kuchimba shimo moja kwa kutumia jembe alafu una chuchumaa kushusha mzigo heavy weight huku ukipunga upepo mwanana sanaaaaaaa.

Maji yako kwenye kopo pembeni ukimaliza wanawa then wasepa kulima.
 
hiyo haipingwi wakati fln nlkuwa huko kagera nikijitafta sehemu nloishi ilikuwa haijaendelea na mandhali ya mlima nlkuwa najihisi comfortable nlpokuwa na nak*ny mlimani.imenichukua mda kufurahia huduma ya choo huku mjn
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom