Ameenda kukuchezea ndio maana ukawa na IQ sifuri, yaani kichwa ambacho hakina kitu ndani! EMPTY HEAD.Asubuhi wakati anaondoka si akaikusanya na boxer yangu akasepa nayo aisee kanishangaza sana sasa sijui anaenda kuifanyia nini?
ππkulogwa tena
CC Zero IQ