Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,917
- 24,674
Mimi kuna huyu mpenzi wangu jana wakati amekuja kwangu usiku kuna boxer niliivaa wakati nikiwa nae akasema anaipenda na ataondoka nayo kama ukumbusho akiwa kwake.
Tulicheka na nikajua utani, asubuhi wakati anaondoka si akaikusanya na boxer yangu akasepa nayo, aisee kanishangaza sana.
Sasa sijui anaenda kuifanyia nini?
CC Zero IQ
Tulicheka na nikajua utani, asubuhi wakati anaondoka si akaikusanya na boxer yangu akasepa nayo, aisee kanishangaza sana.
Sasa sijui anaenda kuifanyia nini?
CC Zero IQ