JE UMESUMBUKA SANA KUPATA UTAJIRI??

daneyodry

JF-Expert Member
Aug 1, 2017
350
250
kwa wale wote waliosumbuka sana kutafuta mali, wengine ikiwa ndio mwaka wao wa pili sasa..
Nataka nikufahamishe kuwa ili utajirike kuna mambo makuu matatu ya kuzingatia.
Mambo yenyewe hata mimi sijayafamahu bado we tuendelee tuu na umasikini wetu kwani hakuna namna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Top Bottom