Light Saber Imetosha Sasa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 5,180
- 9,547
Hahahah nilidhani mambo kama haya anayaweza magu tu, msema kweli ni mpenzi wa mungu!Sitokaa nisahau kile kibao kabisaaa!! Kilikuwa kimoja tuuu ila niliona nyota zoote za mbinguni zimehamia pale sebleni!
Ni mwanaume gani huyo kabisa ananyanyua mkono kukupiga wewe mdogo wangu? Hakustahili kabisa nitakuja kukuchukuaSitokaa nisahau kile kibao kabisaaa!! Kilikuwa kimoja tuuu ila niliona nyota zoote za mbinguni zimehamia pale sebleni!
Inaonesha kiwango cha ukomavu zaidi kama mkieleweshana kwa njia za amani! Ila uki impose utoto utakula makofi kama kawaida.Sio sahihi, anapigwa mtoto watu wazima tunaeleweshana
Sio sahihi, anapigwa mtoto watu wazima tunaeleweshana
Nilitaka kushangaa kwenye uzi huu nikukose.Inaonesha kiwango cha ukomavu zaidi kama mkieleweshana kwa njia za amani! Ila uki impose utoto utakula makofi kama kawaida.
Hahaha hahaha hahahaHahahah nilidhani mambo kama haya anayaweza magu tu, msema kweli ni mpenzi wa mungu!
Ila sio siri hilo bao limekurudisha oni de raiti tilaki!
Mmh mimi ata kunyanyua mkono siwezi, sio kwa mke tu bali kwa mwanamke yeyote, Ntatumia njia nyingine lakini sio hiyo.
Makabila mengine yanaamini ukimpiga mwanamke ndio anakupenda zaidi, lakini me naona hii ni mila potofu
Ukiona mnafika hatua za kupigana kwenye ndoa, basi hamuijali miili yenu
😀ont folo folo me wizout ene bikoz:
Hahahah aisee basi naondoka mama!Nilitaka kushangaa kwenye uzi huu nikukose.
Sikuwahi kujua kumbe walio olewa wote wamepigwa ila kwa mama yangu sikuwahi kushuhudia hili.Wewe ni mwanamke....Ulishaolewa?
Olewa ukae ndani kama miaka miwili hivi halafu uniambie hakuna siku mlipimana ubavu!
Haina kurembua hii,olewa kwanza then utuambie!
Dah basi jamaa muuaji huyo, yani anapiga mke bila kosa kweli! Haipendezi hata mie siwezi hata kukusema tu kama huna hatia!Hahaha hahaha hahaha
La miaka mingi hilo ila mimi huwa ni kama jana tuu!!
Halijanibadilisha kitu sababu kosa halikuwa langu!
Yaani hawa wapuuzi huwa wanaona sifa kupiga wenzao, nilimkosa kosa na stuli.Sitokaa nisahau kile kibao kabisaaa!! Kilikuwa kimoja tuuu ila niliona nyota zoote za mbinguni zimehamia pale sebleni!
Yaani nilivyoona umenikoti nilijua tu kuwa hiki ndicho umeandika, mimi sipigwi ukinipiga uwe umeandaa kabisa na talakaWewe ni mwanamke....Ulishaolewa?
Olewa ukae ndani kama miaka miwili hivi halafu uniambie hakuna siku mlipimana ubavu!
Haina kurembua hii,olewa kwanza then utuambie!
Toa ushuhuda jinsi gani ulivyo mvunja wifi yangu taya za menoHahahah aisee basi naondoka mama!
Mimi mpaka leo sitakagi kuamini kile kibao kilitoka kwake!Ni mwanaume gani huyo kabisa ananyanyua mkono kukupiga wewe mdogo wangu? Hakustahili kabisa nitakuja kukuchukua
Nimekupenda best mubasharaYaani nilivyoona umenikoti nilijua tu kuwa hiki ndicho umeandika, mimi sipigwi ukinipiga uwe umeandaa kabisa na talaka