Je umeshawahi kuhongwa na mwanamke?

Je umeshawahi kuhongwa na mwanamke?

Labda ungeweka kwanza hapa,nini maana ya kuhongwa? je mwanaume kupewa gift na mwanamke ni kuhongwa pia?
 
Hapa natype tupo bagamoyo kwenye mapumziko ya mwisho wa mwaka, tulipokaribiana hotelini akanigea laki nne na ishirini kwaajili ya kulipia room tukifika reception. Kidume nimefika reception nimevimba kama nimezisaka mimi vile, kama aligongwa huko akapewa hela kimpango wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom