Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,069
- 10,012
Baafhi ya kampuni zimekuwa zikiwatumia wateja ujumbe kuwajulisha tatizo la umeme. Nadhani ni suala la kiuungwana sana. Mimi nimetumiwa ujumbe na kampuni ya mawasiliano ninayotumia, na kuna huduma nyingine nimetumiwa ujumbe pia.
Kwa kweli nimejisikia faraja. Je umepata ujumbe wa huduma yoyote unayoitumia kuhusu tatizo lililopo au wamekuona mbwa mmoja hustahili kuambiwa. Share screenshot.
Kwa kweli nimejisikia faraja. Je umepata ujumbe wa huduma yoyote unayoitumia kuhusu tatizo lililopo au wamekuona mbwa mmoja hustahili kuambiwa. Share screenshot.