Kijana uko vizur sana ningependa unifanyie kaz tafadharHahahaha unataka aliyokaza sura sioView attachment 1501145View attachment 1501146View attachment 1501147
Hiii imekaa poa Sana nataka ya ubora huuShukuran sana mkuu
Kwa picha ya figure 2, ntatumia karatasi ya ukubwa wa A3
Kuchora na kuframe 85000/=
Unaweza tazama hii attachment hapa chini jinsi muonekano wa A3 ulivyoView attachment 1501231
Unajua ausee..Hahahaha well Waweza refer hizi kazi za watu maarufu na wanaofahamika kwa wengi niliowachoraView attachment 1501065View attachment 1501068View attachment 1501069View attachment 1501070
Mkuu, hicho kipaji mimi nnacho sema kujishughulisha na shughuri nyingine ndo kumenifanya nipotezee lakini miaka ya 90 huko nilishawahi kukutanishwa mpaka na mwalimu wa uchoraji kwenye hizi shule za kuitwa international schoolHahaha mwamba mwamba
aiseee.!Nawaza hapa kuingiza pesa kwa kupitia wewe ila bado sjapata jibu. Upo vizuri zaidi ya sana kiongozi.
Noma sana aisee...!
Hii tamu saaaanaShukuran sana mkuu
Kwa picha ya figure 2, ntatumia karatasi ya ukubwa wa A3
Kuchora na kuframe 85000/=
Unaweza tazama hii attachment hapa chini jinsi muonekano wa A3 ulivyoView attachment 1501231
Unatakaumgeuze fursa?? Jamaa yuko vizuri sana sanaNawaza hapa kuingiza pesa kwa kupitia wewe ila bado sjapata jibu. Upo vizuri zaidi ya sana kiongozi.
Noma sana aisee...!
Makubwa tena haya....Hahahaha unataka aliyokaza sura sioView attachment 1501145View attachment 1501146View attachment 1501147
Unatakaumgeuze fursa?? Jamaa yuko vizuri sana sana
Ngoja nitulie nikueleze vizuriYes bro fursa ukiiona yapasa kuitumia ndo nawaza hapa jinsi ya kupiga hela kupitia yeye aisee...!