Je, umekuwa ukiwaza na kuwazua ni zawadi gani utampa umpendae/wapendwa zako?

Hahaha mwamba mwamba
Mkuu, hicho kipaji mimi nnacho sema kujishughulisha na shughuri nyingine ndo kumenifanya nipotezee lakini miaka ya 90 huko nilishawahi kukutanishwa mpaka na mwalimu wa uchoraji kwenye hizi shule za kuitwa international school
Pia nilikua nawakimbiza kimya kimya kina steve biko na tyson ( hawa ni wachoraji maarufu wilaya ya temeke )
 
Nawaza hapa kuingiza pesa kwa kupitia wewe ila bado sjapata jibu. Upo vizuri zaidi ya sana kiongozi.

Noma sana aisee...!
 
Back
Top Bottom