hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
Hahaa hapa itakuwa una utani na Ushimen na mkuu Mshana Jr tu. Ila umeamua kuwa tania kwa kupitia mgongo wangu ...mimi beginner tu humu hakuna nilijualo "...I see. Ninyi ndio maalwatani humu JF. Kama JF ingekuwa pitch ya football full kelele. Usiniumizie huyooo. Mzee full kupiga vyenga na kutuvisha kanzu zile oversize
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app