Mkweche II
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 4,453
- 6,336
Niliku naibu waziri wa ulinzi
Maarufu kwa kunyayasa watoto wa watu
Maarufu kwa kunyayasa watoto wa watu
😀😀😀😀😀😀😀😀😀Ningesoma na wewe lazima ningekuomba tu unipe,nilikuwa napenda tutoto tudogo tuzuri
mkuu chaji imekata nadhani, akichaji arudi amalizie
Halafu ulikuwa unaniudhi sn chuo unajitolea kufundisha mademu unatukimbia masela.umaarufu wangu ulitokana nakujua sana hesabu,nilikuwa napata zote 50/50
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16]Halafu ulikuwa unaniudhi sn chuo unajitolea kufundisha mademu unatukimbia masela.
Unaishia kutaja ukipanga wa primary tu maana yake secondary ulikuwa unapumlia mashine. Ukakutana na majoni kisomoNilikuwa maarufu primary ndio!Kwa sababu ya usmart wa akili na mavazi...!
hahahaha sio Mimi mkuuHalafu ulikuwa unaniudhi sn chuo unajitolea kufundisha mademu unatukimbia masela.
Urefu na akili primary lakini,,olevel nilikua niponipo tu nikakutana na majohn kisomo wakanifunika,advance wowowo,,