Je, ulishakuwa kwenye mahusiano na wapenzi wangapi?

Je, ulishakuwa kwenye mahusiano na wapenzi wangapi?

Kwenda zako huko, hujui chochote,
uliza watu wazima watakuambia.

Naamini nimekugusa vilivyo.Nyinyi ndio wale ambao unakuta mmama au mbaaba anajisifu mimi enzi za ujana wangu nimefanya kila aina ya starehe wakati huo anaongea na wewe amechoka ile mbaya.Unamuuliza ok mara baada ya hayo yote umepata manufaa gani? anabaki anashangaa shangaa.Nikuulize swali kwanini hata madaktari wanasema mwanamke anaweza kupata kansa ya uzazi kama atakuwa na mahusiano na wanaume tofauti tofauti.Usijifariji ili kuficha maovu.

kwa hiyo wasiokuwa na mahusiano ya kingono na wanaume tofauti tofauti hawapati kansa ya uzazi?
 
Big Lion

Wakati tuko watoto tuliambiwa siku ya kiama papuchi zote ulizogonga isivyo halali zitakuwa zinaonekana mwilini mwako... sasa kwa saizi ya papuchi nadhani bado hazitakuwa na uwezo wa kufunika mwili wa huyu jamaa!
 
Last edited by a moderator:
Kwa kizazi hiki kupata aliyetembea na wadada/wanaume 5- ni kupata bikra tena kajitunza sana.
Watu wamesahau kuvaa boxers /thongs. Kila anayebisha hodi mlango upo wazi.
 
Endelea kamanda na kishoka ukichoka njoo utupee taarifa zaid maana ss wengine tunaona jambo la kawaida kujaza fuso bora mzigo ufike
 
Mh!!! mimi huwa naona ni ujinga wa kupitiliza, kupima ni haki ya kila mtu!!tena ilitakiwa tuwe na vipimo au mahali maalumu kwenda kupima buree kila miezi mitatu. Nilishangaa nilikwenda hospitali moja binafsi hapa mitaa ya ilala wakaniambia kupima ukimwi ni Elfu 10!!!!!!!!!........
 
Kumbe huwa mnapataga hadi muda wa kuwasehabu ni wangapi duhhh; na Mm ntaanza maana sifanyagi sensa yao kabisaa
 
@Mr. Verossa

Hakuna uwalakini best, naangalia sensa ya wapenzi zama hizi, sasa najaribu kuangalia kama itafanikiwa au vipi.
nitakucheki mchana best
 
Back
Top Bottom