Ibaki kua siri ya kambi sio kila kitu cha kukiongeakama kichwa kilivyoanza hapo.. nikiwa na maana kuwa unaish na mpenz wako kwenye mahusiano ya kimapenzi hadi hatua ya ndoa na siku kadhaa baada ya ndoa unaamua kumwambia ukweli kuwa akusamehe sana rafiki yake mpenzi aliegombana naebkwa sasa na hawaongei chanzo ilikua ni yeye alishakula mzigo. hvyo umeona ni kuteseka kwa nafsi ukiendelea kumficha umeamua kusema ili uwe huru.
kwa stage hiyo hapo umejiweka huru au umejitia matatzoni?
mtazamo wenu wakuu
Swala sio kumsamehe,swali lako ni kutaka kujua kuwa atakuwa amejiweka huru au amejiingiza matatizoni..nitamsamehe