Inawezekana isiwe dhambi(japo sikubaliani nayo).What if huyo kuwadi kwa mke wa mtu anapeleka ujumbe tofauti na ujumbe wa kimahusiano?Sidhani kama kazi ya kuwadi ni kuunganisha watu kwenye mahusiano tu(otherwise ntakuwa maana ya kuwadi nimeenda op)hata kumkuwadia mke/ mume wa mtu?
Hivi hasi inaweza kuwa chanya kweliInawezekana isiwe dhambi(japo sikubaliani nayo).What if huyo kuwadi kwa mke wa mtu anapeleka ujumbe tofauti na ujumbe wa kimahusiano?Sidhani kama kazi ya kuwadi ni kuunganisha watu kwenye mahusiano tu(otherwise ntakuwa maana ya kuwadi nimeenda op)
Kama ni hivyo basi ni dhambi.Sijawahi kumuona kuwadi mwenye nia njema
Jibu ni hapanaHivi hasi inaweza kuwa chanya kweli