Umeuliza kwa nini Mungu tunamuweka kwenye picha ya kuabudiwa tu? Pia rejea doubt ulio nayo kwenye kichwa cha maada.
Mimi Naweza kukwambia utafute mzizi na kina cha hayo maswali,,utafakari kwa kina na kila siku uishi ukiutafuta ukweli.
Usiridhike kwa jibu lolote mpaka pale umetafakari ukajua ukweli.
Nimepita mahali kukawa na neno "Usipojua utajua ukijua"
Nikalifananisha na ""Ukiijua kweli hio kweli itakuweka huru,,,nawe utakuwa huru kwelikweli""
Kwa hio tafuta kweli iko wapi?
Hata watafuta ukweli flani wa kizungu nimeona wameandika mahali "Who are we and where do we come from?""
Labda wewe umejiridhisha kwamba tumetoka kwa Mungu kwenye maandiko yako,,,,,sasa limebaki swali la ""sababu,lengo ama dhumuni la sisi kuwa hapa duniani ni nini???
Waisraeli walipotoka misri walitaka Mungu aongee nao direct,,,lakini Mungu aliposhuka kwenye mlima aongee nao walibadili mawazo njiani baada ya k
ugundua kuwa Mungu ni mkubwa mara mia zaidi ya walivyozani,,mwisho wakakaa mbali wakateua mwakilishi aongee na Mungu kwa niaba yao.
Ninaamini hata wewe utakapokuja gundua kwamba sisi ndio tumemuandarate Mungu utakuwa ni ukweli mgumu sana kwako.
Sent using
Jamii Forums mobile app