Je, uko tayari kuendelea na uliye naye?

Je, uko tayari kuendelea na uliye naye?

Umeshaanza mambo yako. [emoji23][emoji23] Post zote hakuna hata mmoja aliesema ndiyo mambo ni magumu inaonesha huko watu wanavumiliana sana.
Nahisi waliojibu wengi ni ke. Na majibu yao mengi hao akina ke huwa siyo ya kuaminika. Ni vigeu geu.
 
Back
Top Bottom