TAJIRI MKUU WA MATAJIRI JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 11,789 Reaction score 23,927 Jun 10, 2023 #1 Binafsi, je naenda kukutana na nani? Hilò ndio swali namba 1. Swali namba mbili huwa je anajua nini kwenye mitindo na fashion? Basi napenda vitu unique, yaani niwe wa kipekee ndio maana nagharamìa. Hii ndio saa yangu. Usiulize gharama . Nguruwe hawajuagi madini etii!!!!!!
Binafsi, je naenda kukutana na nani? Hilò ndio swali namba 1. Swali namba mbili huwa je anajua nini kwenye mitindo na fashion? Basi napenda vitu unique, yaani niwe wa kipekee ndio maana nagharamìa. Hii ndio saa yangu. Usiulize gharama . Nguruwe hawajuagi madini etii!!!!!!
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 53,324 Reaction score 132,589 Jun 10, 2023 #2 Mi nabebaga simu ambayo ina saa ndani yake
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,498 Reaction score 27,812 Jun 10, 2023 #3 Saa ya nini....? Wakati nna simu..? Huwaga navaa culture kama 3 au 4 mkono wa kushoto
berylyn JF-Expert Member Joined Dec 26, 2021 Posts 920 Reaction score 2,755 Jun 10, 2023 #4 Sivai saa navaa bracelet.
Mkweche II JF-Expert Member Joined Aug 11, 2018 Posts 4,455 Reaction score 6,340 Jun 10, 2023 #5 berylyn said: Sivai saa navaa bracelet. Click to expand... Kwann unavaa hio bracelet mkuu
Leejay49 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 19,738 Reaction score 62,739 Jun 10, 2023 #6 sawa
Ncha Kali JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 15,416 Reaction score 29,401 Jun 10, 2023 #7 Kikubwa wallet tu iliyotimia.
kizaizai JF-Expert Member Joined Mar 31, 2010 Posts 6,066 Reaction score 7,552 Jun 19, 2023 #8 Nina saa kama 4 casio. Saa zenye hizo sijui zinaitwa funguo ikiwa zaidi ya moja sivai.
Urban Edmund JF-Expert Member Joined Mar 20, 2018 Posts 2,275 Reaction score 3,673 Jun 20, 2023 #9 natembea na kasamsung note 10 plus kawallet ka kwenda basi unyama saa sizijui kabisa nimejizoesha kuangalia kwenye simu many time nacheki kwenye simu tu
natembea na kasamsung note 10 plus kawallet ka kwenda basi unyama saa sizijui kabisa nimejizoesha kuangalia kwenye simu many time nacheki kwenye simu tu
Mwizukulu mgikuru JF-Expert Member Joined Oct 21, 2021 Posts 6,771 Reaction score 16,203 Jun 22, 2023 #10 mtambo huo niliinunua 40000
MLUGURU JF-Expert Member Joined Mar 30, 2012 Posts 3,040 Reaction score 3,971 Jul 29, 2023 #11 Mwizukulu mgikuru said: View attachment 2664934View attachment 2664934mtambo huo niliinunua 40000 Click to expand... Saa 40000 mkuu??
Mwizukulu mgikuru said: View attachment 2664934View attachment 2664934mtambo huo niliinunua 40000 Click to expand... Saa 40000 mkuu??
Mwizukulu mgikuru JF-Expert Member Joined Oct 21, 2021 Posts 6,771 Reaction score 16,203 Jul 29, 2023 #12 MLUGURU said: Saa 40000 mkuu?? Click to expand... nyingi au kidogo?