Je, ukipata uhamisho unapoenda kuripoti kituo kipya lazima uwe na barua?

Mkwawa mnyalukoro

JF-Expert Member
Oct 11, 2017
232
136
Wadau naomba kuuliza unapoenda kuripoti kituo kipya baada ya tamisemi kukuruhusu kuhamia mkoa mwingine je barua ya utambuliasho unaipata WAP?kwa ajir ya kwenda kumpa boss wako Wa kituo kipya.

Msaada tafadhar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ajira za walimu lini zinatoka kwa waliooomba

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umeshaiona hiyooo
IMG-20190328-WA0029.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom