Je, Ukerewe inaandaliwa kuwa mkoa mpya?

Je, Ukerewe inaandaliwa kuwa mkoa mpya?

Tusaidiene kutafakari wajuvi wa mambo,... Juzi waziri wa afya alifika kisiwani ukerewe kukagua hospital ya bomani kama inaweza kupandishwa kuwa hospital ya mkoa, pamoja na hospital ya kisiwani irugwa.. Je ukerewe inaandaliwa kuwa mkoa mpya?

Sent from my 5023F using JamiiForums mobile app
Habari, sina uhakika kama kuna mpango wa kuunda mkoa wa Ukerewe. Lakini utaratibu huo ni wa kawaida kwa Serikali kusogeza huduma karibu na wanaNchi. Mathalani kwa Dar, Hospitali za Amana, Mwananyamara na Temeke ni za Rufaa za mikoa. Geografia ya ukerewe yenye visiwa takribani 50 ni sawa kuwa na rufaa ndani ya kisiwa. Najua yangefanyika Chato tungeona makerere mengi sana ila ni utaratibu wa Serikali ya CCM kusogeza huduma kwa Wananchi.
 
Asante sana mkuu, ama kweli JF bado kuna watu wengi wanaojibu bila msukumo wa chuki, mihemko, unyumbu....Barikiwa sana mkuu!
 
Tusaidiene kutafakari wajuvi wa mambo,... Juzi waziri wa afya alifika kisiwani ukerewe kukagua hospital ya bomani kama inaweza kupandishwa kuwa hospital ya mkoa, pamoja na hospital ya kisiwani irugwa.. Je ukerewe inaandaliwa kuwa mkoa mpya?

Sent from my 5023F using JamiiForums mobile app
Huu mpango upo tangia mwaka 2016 kulijadiliwa katika kuunda mkoa mpya ukijumuisha wilaya ya UKELEWE, MWIBARA(Kutoka wilaya ya BUNDA) na MAJITA (kutoka MUSOMA vijinini)

Ukiangalia jografia kwa umbali kiuduma visiwa vya kweru,irugwa kwiregi viko karibu na MUSOMA kuliko Mwanza hata hivyo umbali kutoka Nansio to bunda to Musoma ni karibu unapo linganisha umbali wa nansio to Mwanza

Pia mausiano ya kijamii ukelewe inaundwa na jamii ya wakelewe ambao hawa wana muingiliano wa karibu na jamii ya wajita ambao wanao patikana kwa wingi Mwibara (bunda D.C.) na Musoma vijijini (majita). Lugha zao, mila na shughuli zao zinafanana

Pia ikumbukwe kipindi cha jamii za kifalume kabula ya uhuru ukelewe ilikuwa inatawaliwa na mfalme mmoja ambae alimiliki eneo la ukelewe na eneo la MWIBARA lote

Lakini alakati za kuunda mkoa bado unaendelea ndio maana kwa musoma walianzisha halimashauri ya wilaya ya Musoma vijijini na makao makuu kuwekwa MULANGI na pia kwa wilaya ya BUNDA wakaanzisha halimashauri ya wilaya ya BUNDA ambayo makao makuu wakaweka KIBARA Lakini tiali kuna vikao vilisha kaa rasimi kupitisha wilaya mpya ya MWIBARA kutoka bunda.

Hivyo kuna hiyo proposal ya kuanzisha mkoa utakao jumuisha UKELEWE, MWIBARA, MAJITA na BUNDA.
 
Nimepata kitu

Sent from my 5023F using JamiiForums mobile app
 
Habari, sina uhakika kama kuna mpango wa kuunda mkoa wa Ukerewe. Lakini utaratibu huo ni wa kawaida kwa Serikali kusogeza huduma karibu na wanaNchi. Mathalani kwa Dar, Hospitali za Amana, Mwananyamara na Temeke ni za Rufaa za mikoa. Geografia ya ukerewe yenye visiwa takribani 50 ni sawa kuwa na rufaa ndani ya kisiwa. Najua yangefanyika Chato tungeona makerere mengi sana ila ni utaratibu wa Serikali ya CCM kusogeza huduma kwa Wananchi.
Kwahiyo gwajima alienda kwaajili ya huo utaratibu?

Sent from my 5023F using JamiiForums mobile app
 
Ulisisikia wapi, au stori za vijiweni tu
Huu mpango upo tangia mwaka 2016 kulijadiliwa katika kuunda mkoa mpya ukijumuisha wilaya ya UKELEWE, MWIBARA(Kutoka wilaya ya BUNDA) na MAJITA (kutoka MUSOMA vijinini)

Ukiangalia jografia kwa umbali kiuduma visiwa vya kweru,irugwa kwiregi viko karibu na MUSOMA kuliko Mwanza hata hivyo umbali kutoka Nansio to bunda to Musoma ni karibu unapo linganisha umbali wa nansio to Mwanza

Pia mausiano ya kijamii ukelewe inaundwa na jamii ya wakelewe ambao hawa wana muingiliano wa karibu na jamii ya wajita ambao wanao patikana kwa wingi Mwibara (bunda D.C.) na Musoma vijijini (majita). Lugha zao, mila na shughuli zao zinafanana

Pia ikumbukwe kipindi cha jamii za kifalume kabula ya uhuru ukelewe ilikuwa inatawaliwa na mfalme mmoja ambae alimiliki eneo la ukelewe na eneo la MWIBARA lote

Lakini alakati za kuunda mkoa bado unaendelea ndio maana kwa musoma walianzisha halimashauri ya wilaya ya Musoma vijijini na makao makuu kuwekwa MULANGI na pia kwa wilaya ya BUNDA wakaanzisha halimashauri ya wilaya ya BUNDA ambayo makao makuu wakaweka KIBARA Lakini tiali kuna vikao vilisha kaa rasimi kupitisha wilaya mpya ya MWIBARA kutoka bunda.

Hivyo kuna hiyo proposal ya kuanzisha mkoa utakao jumuisha UKELEWE, MWIBARA, MAJITA na BUNDA.
 
Hivi ni kweli kuwa wilaya ya Ukerewe ina wabunge watatu na miongoni mwao mawaziri ni wawili?
 
Sasa tunajenga ya rufaa mpya bilion 4 ziko tayari zimeshatengwa
 
Back
Top Bottom