Amani Msumari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,833
- 979
Habari ndiyo hiyo bwana "Akili Mbili" tuuKumbe uko Tanga ndiyo maana
Uhuru na haki na maendeleo kwao vipo navitawezekana kutokea nakutekelezwa kwa vitendo.Nimiongoni mwamambo ambayo,hayahitaji muujiza kuyatekeleza.Na yayana gharama ,hats ikiwepo ni kwa ajili ya kubadili mifumo michache,kufiki lengo kamili.Wakuu, kuelekea Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28.10.2020, hebu tutafakari pamoja hii kauli mbiu ya CHADEMA: Uhuru, Haki na Maendeleo.
Uzi huu hautalenga kuichambua kaulimbiu hiyo bali utalenga kwenye kuangalia kama kweli kauli mbiu hiyo imekuwa ikitekelezwa kwa vitendo kwenye chama hicho kikuu cha upinzani nchini Tanzania.
Uhuru na Haki
Wakati bunge la Ndugai linakaribia kuvunjwa, viongozi wakuu wa CHADEMA waliwataka wabunge wao kuacha vikao vya bajeti na kwenda kijikarantini. Huenda hili lilikuwa jambo jema lakini halikupaswa kulazimishwa hasa katika kipindi ambacho wananchi waliwahitaji sana wabunge wao wawatetee kwenye bajeti. Wakati wabunge hao ambao walishavuta posho wakijikarantini, wananchi wao walikuwa barabarani wakitafuta riziki zao za kila siku.
Baadhi ya wabunge waligomea amri hiyo. Sote ni mashahidi kilichowakuta akina Lijualikali, Silinde na wenzao.
Wabunge wa CHADEMA hukatwa shilingi milioni moja kila mwezi kutoka kwenye mishahara yao. Je, makato hayo ni makato ya hiyari ambayo yanatawaliwa na misingi ya haki na Uhuru?
Maendeleo
CHADEMA kama chama kikuu cha upinzani kilipaswa kuonesha kwa vitendo kuwa ndio mbadala wa CCM. Pamoja na ruzuku, michango na miradi, ofisi ya makao makuu ya chama hicho haiakisi dhana ya maendeleo. Wengi wa wabunge wake hawaoneshi ubunifu kwenye majimvo yao ili tuone kwa vitendo kuwa hawa ni watu wa maendeleo.
Je, kaulimbiu yao sio ghiliba kwa wananchi?
Povu, utopolo na ugoro: RUKSAAA
Amani Msumari
Tanga
Mbowe atakuwa anakutesa sana kisaikolojia!Utakuja kufa bure kwa kumuwaza!Jihadhari na magonjwa ya moyo na sononi!Vingekuwepo Mbowe angepora bilion 8?
Hayo niliyoyaandika hujayaona? Yatolee maelezoUhuru na haki na maendeleo kwao vipo navitawezekana kutokea nakutekelezwa kwa vitendo.Nimiongoni mwamambo ambayo,hayahitaji muujiza kuyatekeleza.Na yayana gharama ,hats ikiwepo ni kwa ajili ya kubadili mifumo michache,kufiki lengo kamili.
Alaaaaa! Nilikuwa sina taarifaVingekuwepo Mbowe angepora bilion 8?
Kama mmeshindwa kwenye chama kipi kitatufanya tuamini kuwa mkipewa nchi mtatekeleza? Hoja ya haki ba uhuru imeshika Kasi zaidi kwa mafisadi, wakwepa kodi na wavunja sheria wengine. Mimi Kama mwananchi wa kawaida sioni shida yoyoteSasa unauliza swali halafu unajibu mwenyewe!Sisi tufanyeje?
Kama hayo uliyoeleza ndio kigezo cha kuonesha hakuna haki wala uhuru CDM basi kumbe Chadema wako vizuri kwenye eneo hilo!
Nways,tunachokitaka wananchi ni uhuru na haki zetu za kushiriki kikamilifu katika shughuli zote halali ziwe za kijamii,kiuchumi au kisiasa!Mambo kama ya kina Nusrat Henje,Mawazo,Saanane na kilichompata Lissu lazima yadhibitiwe na chama kitakachounda serikali!
Wananchi wasiwe targeted kwa sababu ya itikadi zao,yaani ukishamjua huyu ni mpinzani na anakukera basi ndio unakuwa mwanzo wa kumsumbua na kumtafutia kesi!Tunahitaji usawa mbele ya mahakama na vyombo vya dola!
Swali langu kwako:Kwanini hoja ya uhuru na haki imepata mashiko sana kipindi hiki?Kwanini watu wanaiunga mkono hoja hii?
Panapofuka moshi basi kuna moto!
KaoleCHADEMA ni wasanii sana
Kamuulize zitto atakupa majibu kilichompata.Sasa unauliza swali halafu unajibu mwenyewe!Sisi tufanyeje?
Kama hayo uliyoeleza ndio kigezo cha kuonesha hakuna haki wala uhuru CDM basi kumbe Chadema wako vizuri kwenye eneo hilo!
Nways,tunachokitaka wananchi ni uhuru na haki zetu za kushiriki kikamilifu katika shughuli zote halali ziwe za kijamii,kiuchumi au kisiasa!Mambo kama ya kina Nusrat Henje,Mawazo,Saanane na kilichompata Lissu lazima yadhibitiwe na chama kitakachounda serikali!
Wananchi wasiwe targeted kwa sababu ya itikadi zao,yaani ukishamjua huyu ni mpinzani na anakukera basi ndio unakuwa mwanzo wa kumsumbua na kumtafutia kesi!Tunahitaji usawa mbele ya mahakama na vyombo vya dola!
Swali langu kwako:Kwanini hoja ya uhuru na haki imepata mashiko sana kipindi hiki?Kwanini watu wanaiunga mkono hoja hii?
Panapofuka moshi basi kuna moto!
Anaiijua CHADEMA vizuri sanaKamuulize zitto atakupa majibu kilichompata.
Kuwa Tanga kuna uhusiano gani na makato ya 1 million kwa waheshimiwa sana wabunge?Kumbe uko Tanga ndiyo maana
Kiukweli hamna ili ni bora tubadili tu, ili tupumue!Sasa unauliza swali halafu unajibu mwenyewe!Sisi tufanyeje?
Kama hayo uliyoeleza ndio kigezo cha kuonesha hakuna haki wala uhuru CDM basi kumbe Chadema wako vizuri kwenye eneo hilo!
Nways,tunachokitaka wananchi ni uhuru na haki zetu za kushiriki kikamilifu katika shughuli zote halali ziwe za kijamii,kiuchumi au kisiasa!Mambo kama ya kina Nusrat Henje,Mawazo,Saanane na kilichompata Lissu lazima yadhibitiwe na chama kitakachounda serikali!
Wananchi wasiwe targeted kwa sababu ya itikadi zao,yaani ukishamjua huyu ni mpinzani na anakukera basi ndio unakuwa mwanzo wa kumsumbua na kumtafutia kesi!Tunahitaji usawa mbele ya mahakama na vyombo vya dola!
Swali langu kwako:Kwanini hoja ya uhuru na haki imepata mashiko sana kipindi hiki?Kwanini watu wanaiunga mkono hoja hii?
Panapofuka moshi basi kuna moto!
Sasa wewe,so ukubali tu ukweli nafahamu kwa wengine ukweli kwao sumu.Sema upo nikilinganisha na chama mbogamboga.Kiukweli hamna ili ni bora tubadili tu, ili tupumue!
HatariKiukweli hamna ili ni bora tubadili tu, ili tupumue!