ubongokid JF-Expert Member Joined Apr 30, 2017 Posts 2,457 Reaction score 4,792 Jan 12, 2018 #1 Habari wadau; Naona vijana wengi sana wanatumia Ugoro,tena vijana wanaaonekana watulivu wanakula sana ugora mpaka inaanza kunipa tatizo Swali:Je Ugoro ni mihadarati?na hivi unatokana na nini? Tujadili
Habari wadau; Naona vijana wengi sana wanatumia Ugoro,tena vijana wanaaonekana watulivu wanakula sana ugora mpaka inaanza kunipa tatizo Swali:Je Ugoro ni mihadarati?na hivi unatokana na nini? Tujadili
Zero IQ JF-Expert Member Joined Dec 21, 2016 Posts 13,985 Reaction score 25,204 Jan 12, 2018 #2 Kwanza wewe jibu lako ni lipi?
Nejad Rocket JF-Expert Member Joined Jul 5, 2017 Posts 298 Reaction score 198 Jan 12, 2018 #3 Ngisugi
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,438 Jan 12, 2018 #4 Ugarit ni zao la tumbaku
adden JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 7,032 Reaction score 15,721 Jan 12, 2018 #5 Nejad Rocket said: Ngisugi Click to expand... Mwaipaya tope geji daahh una majina mengi ila machalii wanaugonga vibaya mno
Nejad Rocket said: Ngisugi Click to expand... Mwaipaya tope geji daahh una majina mengi ila machalii wanaugonga vibaya mno
SNAP J JF-Expert Member Joined Dec 26, 2013 Posts 7,117 Reaction score 8,096 Jan 12, 2018 #6 adden said: Mwaipaya tope geji daahh una majina mengi ila machalii wanaugonga vibaya mno Click to expand... Ongezea na "DONGO'
adden said: Mwaipaya tope geji daahh una majina mengi ila machalii wanaugonga vibaya mno Click to expand... Ongezea na "DONGO'
Nejad Rocket JF-Expert Member Joined Jul 5, 2017 Posts 298 Reaction score 198 Jan 12, 2018 #7 adden said: Mwaipaya tope geji daahh una majina mengi ila machalii wanaugonga vibaya mno Click to expand... Unalegeza mdomo unakuwa kama mdomo wa punda
adden said: Mwaipaya tope geji daahh una majina mengi ila machalii wanaugonga vibaya mno Click to expand... Unalegeza mdomo unakuwa kama mdomo wa punda
Kirchhoff JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,964 Reaction score 8,936 Jan 12, 2018 #8 Bwimbwi ni shida lina madhara makubwa sana ila vijana wetu ndo wamegeukia huko.!
Kibo10 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 11,278 Reaction score 8,868 Jan 12, 2018 #9 May grandpa katumia ugoro kwa miaka 55 na akafa kwa maleria,Hivi vitu vinanichanganya sana
MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,698 Reaction score 42,009 Jan 12, 2018 #10 Ukiunusa utapiga chafya mpaka mapafu yanatoka
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 75,520 Reaction score 185,656 Jan 14, 2018 #11 Connnnor atuambie Cc Smart911