Je, kuna uhusiano wowote kwa mtu mwenye uwezo wa kuzungumza lugha nyingi na uwezo wake wa kiakili (Intelligence Quotient)?

Mr Spider

JF-Expert Member
Feb 28, 2020
1,402
2,507
Habari ndugu zangu?

Ninaleta kwenu hoja hii, nimekuwa nikijiuliza je, upo uhusiano wowote kwa mtu mwenye uwezo wa kuzungumza lugha zaidi ya moja kwa ufasaha na uwezo wa kiakili, yaani kwamba anadhihirisha anauwezo mkubwa wa kiakili?
 
Back
Top Bottom