The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 5,082
- 20,806
Okay.Changamoto ya Hisense( hizo za Tanzania) Android yake imefungwa, wanakupa tu apps mbili tatu utumie hizo hizo.
Na integemea na budget yako, sometime mchina anakuwa mzuri kwenye budget fulani, sometime vyema ununue samsung/Lg.
Ungefafanua Mkuu na ja brand nzuri ya hisense ya China au south Africa.Changamoto ya Hisense( hizo za Tanzania) Android yake imefungwa, wanakupa tu apps mbili tatu utumie hizo hizo.
Na integemea na budget yako, sometime mchina anakuwa mzuri kwenye budget fulani, sometime vyema ununue samsung/Lg.
Sifahamu mkuu, hata utofauti siujui ni upi ama kama kuna utofauti wa software. Kama kuna mwenye model aziweke.Ungefafanua Mkuu na ja brand nzuri ya hisense ya China au south Africa.
vp kuhusu TCL?Changamoto ya Hisense( hizo za Tanzania) Android yake imefungwa, wanakupa tu apps mbili tatu utumie hizo hizo.
Na integemea na budget yako, sometime mchina anakuwa mzuri kwenye budget fulani, sometime vyema ununue samsung/Lg.
vp kuhusu TCL?
TCL vs Hisense ipi ni bora?
Hisense brand ya south Africa ,,,hutojutia mkuu,,Wakuu habari.
Naomba kufahamu ubora wa TV Hisense brand. TV yangu ya Samsung imeharibika sasa nimekutana na mtu ananiambia kuna hizi Hisense brand wana offer ya black friday sales, akanipa offer kubwa.
Sasa kabla sijakubaliana na offer yake nimeona niulize wazoefu wa hii brand ya Hisense, ni ya kichina ama ni ya wapi, ubora wake ukoje, duratibility na mambo kama hayo.
Ahsante.
Nina TV za Hisense tatu 55 inches nilinunua moja nikaziona ni nzuri tu ingawa resolution yake sio bora sana kama Samsung ila ni TV nzuri mno na zinatengenezwa China na nyingine South Africa. Kama unataka nzuri nunua smart zenye 4K na pia angalia kuna products nyingine ni matoleo bora zaidi ya nyingine hilo utagundua kwenye beiWakuu habari.
Naomba kufahamu ubora wa TV Hisense brand. TV yangu ya Samsung imeharibika sasa nimekutana na mtu ananiambia kuna hizi Hisense brand wana offer ya black friday sales, akanipa offer kubwa.
Sasa kabla sijakubaliana na offer yake nimeona niulize wazoefu wa hii brand ya Hisense, ni ya kichina ama ni ya wapi, ubora wake ukoje, duratibility na mambo kama hayo.
Ahsante.
Binafsi kwangu TCL wapo vizuri zaidi, sema utafute version ya Android Tv.vp kuhusu TCL?
TCL vs Hisense ipi ni bora?
Sawa mkuu. Ngoja niangalie inchi 58 ama 65.Nina TV za Hisense tatu 55 inches nilinunua moja nikaziona ni nzuri tu ingawa resolution yake sio bora sana kama Samsung ila ni TV nzuri mno na zinatengenezwa China na nyingine South Africa. Kama unataka nzuri nunua smart zenye 4K na pia angalia kuna products nyingine ni matoleo bora zaidi ya nyingine hilo utagundua kwenye bei
Mie nilinunua ya kwanza nikakaa nayo miezi sita ikanivutia sana nikavuta nyingine na baadae nikaongeza ya tatu. Pia nina Samsung smart 32 inches pamoja na TCL 40 inches
Usishtuke kwa nini nina runinga nyingi ni kwamba nina sebure mbili na vyumba vyote nimeviwekea runinga. Nilipenda tu kuishi kistaa kama niko hotelini kumbe home
Halafu Hisense smart inch 55 usinunue zaidi ya 1,230,000.00 au kuna zingine ambazo kioo chake kimeenea mpk kwenye angle hizo usinunue zaidi ya 1,450,000.00
Karibu kwenye ulimwengu wa Hisense.
Unajuaje hii nikutoka SA ama nchi nyingine?Hisense brand ya south Africa ,,,hutojutia mkuu,,
Brand zingine zote mashaka matupu kwenye quality ya pictures..
Shingap hiiNilikua na lg haikudumu kuna mtu akanipenyezea chukua hisense ,, na hisense now smart 4k ipo vzr sana features ni zilezle tu hakuna utofaut zaid ya brand tu. Kama unachukua hisense chukua ya china inakua na box jeupeView attachment 1634710
Nilikua na lg haikudumu kuna mtu akanipenyezea chukua hisense ,, na hisense now smart 4k ipo vzr sana features ni zilezle tu hakuna utofaut zaid ya brand tu. Kama unachukua hisense chukua ya china inakua na box jeupeView attachment 1634710