Je tutafika kweli?

njiwa

JF-Expert Member
Apr 16, 2009
12,931
6,662
dmn.jpg



Daraja la kigamboni washaanza kuligeuza dampo...

huko dar es salaam wenzetu mbona mna mambo ya ajabu ? waangetujengea sisi tu Tanga ! maana tunaustaarabu wakutosha nadhani
 
Kwa kweli tunasikitisha! hadi watani zetu wamekataa kuwa sio lao
 
Back
Top Bottom