Je, tupo tayari kwa kiasi gani ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, tupo tayari kwa kiasi gani ?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nkyandwale, Feb 25, 2011.

 1. nkyandwale

  nkyandwale Member

  #1
  Feb 25, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15
  Kwa mujibu wa kipima joto cha ITV. Je, Watanzania tumejiandaa kwa kiasi gani ili kukabiliana, na matukio ya mtambuka kama vile milipuko ya mabomu, mafuriko, kimbunga, ukame, moto...... na magonjwa kama.......na kipundupindu vinapotokea?
  Kwa mfano. Huwa inatokea kwa baadhi ya Watanzania tunaposikia mshindo mkuu au mlipuko, badala ya kuchukua hatua ya kwenda mbali, bali tunasogea kwenye tukio ili kushuhudia ! Si hivyo tu, Taasisi husika zinawajibika ipasavyo? Wana-JF tufumbuane! :rain:
   
Loading...